Husia wa baba.....

Husia wa baba.....

Machingafx

Senior Member
Joined
Sep 25, 2026
Posts
139
Reaction score
185
Dingii.... kitambo... aliniambia kua mbaya usimtenge msogeze kalibu lisha mpe kacheo fulani... mlipe na mshahra....
Mwenyewe ataona aibu..... ni ivyo tu...
Asa sijajua dingii. Wako alikuachia usia gani.....
Tunajadili 👇👇👇hapa kwenye comment section..
 
Mi aliniambie "jenga na usiuze nyumba kwani nyumba inaishi miaka 100+ huo upendo na hata pesa havina life span hiyo"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom