Recent content by MACHIMUKENDA

  1. M

    DPP: Wakili Maneno Mbunda anayedaiwa kupotea huko Arusha anashikiliwa na Polisi pamoja na wenzake 9 kwa mahojiano

    Tunakushukuru sana Rais wa TLS, kwa taarifa yenu ya awali. Wa Tanzania wote tunaendelea kungojea kusikia hitimisho la suala hili. Tunamuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwajaalia afya njema ya kuwawezesha kuendelea kuwa imara katika kutekeleza majukumu yenu mazito.
  2. M

    Barua kwa Mfanyakazi wa Tanzania, Mei Mosi 2019

    Mheshimiwa Zito Kabwe, andiko lako ni zuri sana, linaelimisha vizuri sana, linahamasisha vizuri sana. Hapa lilipokaa, yaani Twitter, au Jamii Forum, au Face Book, ni mahala pafinyu sana. Wafanyakazi wengi hawataweza kulisoma andiko lako.Tafuta njia bora zaidi, ili andiko lako liwafikie...
  3. M

    Jeshi la Sudani lapewa muda wa miezi 3 kukabidhi madaraka kwa raia

    Hakuna mjadala kwamba Jeshi lazima likabidhi madaraka kwa Raia ndani ya wiki moja kuanzia tarehe ya Leo. Jeshi limekuwa madarakani kwa miaka 30, hakuna lolote, walilolifanya la maendeleo ya wananchi. Kwahiyo kuendelea kushikilia madaraka ni kuendeleza ufisadi uliokuwa unafanywa na hao hao...
  4. M

    Je, wajua kikatiba, CAG ana hadhi ya Jaji Mkuu?. Je, wajua ripoti ya CAG ni Zaidi ya Bill?. Je, wajua kwenye ripoti ya GAG, CAG ni zaidi ya Rais ?

    Siku 7 zimekwisha timia. Hatujui kama report ya CAG imewasilishwa Bungeni au la.Endapo report ya CAG haikuwasilishwa Bungeni, nani anawajibika kulivuja Bunge kwa mujibu wa Katiba?
  5. M

    Maandamano ya Kulinda Katiba Kuhusu suala la CAG. Pongezi Vijana wa Vyama vya Upinzani

    Maandamano ya amani ni njia moja nzuri ya kistaarabu ya kufikisha ujumbe kwa watawala. Maandamano hayo lazima yakubaliwe. Watawala wakiyazuia, watakuwa wanakaribisha uasi nchini. Watakuwa hawataki kujua nini wapinzani wanachokitaka. Watakuwa hawana busara ya kutaka kudumisha demokrasi nchini...
  6. M

    Msemaji wa Waasi Rwanda: Hatuna namna zaidi ya kupigana na Kagame

    Tatizo la Kagame, ni kuwaua wapinzani wake. Analengo la kuwamaliza wote popote walipo. Hataweza kufanikiwa. Ndiyo sababu wapinzani nao wamejiunga pamoja kupambana nae. Wapinzani hao wanaungwa mkono na mmoja wa viongozi wa nchi za Maziwa Makuu ambae ana uzoefu mkubwa sana wa vita vya msituni...
  7. M

    Prof. Assad(CAG): Nitaitikia wito wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

    JAMBO LA KUKUMBUKA KATIKA MAISHA : Siku yoyote ukiitwa na mtu yeyote ni lazima uitikie wito. Ukifika kwenye huo wito, kubali au kataa ulichoitiwa.
  8. M

    Wamiliki wa baa wafurahia nia ya RC Makonda kutaka kuruhusu baa kufanya kazi saa 24

    Wafungue tu hizo baa masaa 24, ni walevi ndio watakao shangilia, ambao ni wachache sana, na hawana faida yoyote kwa Taifa.
  9. M

    Kesi ya Viongozi wa CHADEMA yaahirishwa hadi 17 Jan 2019, Mbowe kuendelea kusota Korokoroni

    Ingekuwa ni busara sana endapo Hakimu angeahirisha kesi hiyo hadi tarehe 17 Januari 2020, ili Mbowe na Matiko wapate muda mrefu mzuri wa kupumzika.
  10. M

    Baada ya EU, Serikali ya Marekani nayo yaugeukia utawala wa Rais Magufuli

    (1) Kiingereza kilichoandikwa hapo ni cha ki-Tanzania kabisa. Americans hawaandiki kiingereza cha style hiyo. Tunajua sana style yao ya kuandika kiingereza.Kwahiyo maandishi hayo yote yameandikwa hapa hapa DSM, kama yale mliyo dai yameandikwa na bunge la EU. Muwadanganye watoto wa darasa la...
  11. M

    European Parliament resolution on Tanzania

    (1) Hizo resolutions zote zimeandikwa hapa hapa DSM na siyo EU. Hazitamtisha mtu yeyote, mnapoteza muda wenu. (2) LGBT1 endeleeni na maisha yenu haramu yaliyo laaniwa na Mwenyezi Mungu. Mkumbuke kwamba baada ya maisha hayo haramu hapa duniani, mtakapo kwenda ahera mtatupwa Jahanam.
  12. M

    Watatu wafariki katika ajali ya basi la mwendokasi na Pikipiki. Watu 20 mbaroni kwa kuharibu basi la Mwendokasi

    Madereva wengi wa bodaboda hawafuati sheria za matumizi sahihi ya barabara, ama hawakufundishwa, ama wanakosea kwa makusudi na wanadharau. Kwahiyo ili kukomesha tabia zao za kishenzi, askari wa usalama barabarani, waendelee kuwakamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani, ili waendelee kupewa...
  13. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mawazo mengi kichwani humfanya mtu apotee njia
  14. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mawazo mengi kichwani humfanya mtu apotee njia
Back
Top Bottom