Cheque ya malipo kutoka nssf inaonesha imeshaenda
fimboyaukwaju sawa ndugu nashukuru lakini uwa inawezekana malipo kufanywa na nssf ikachukua zaidi ya siku mbili kupata hela yako kwenye akaunti?
Habari za asubuhi ndugu zangu mimi nachangamoto moja niliandikisha madai ya mafao yangu nssf yanaonesha yameshalipwa siku ya tatu leo lakini bado sioni amaunt kusoma kwenye akaunti yangu ya benki, shida inawezakuwa nini?
Habari za mchana wadau samahani ningependa kujuzwa madai ya mafao ya nssf yakiandika approved claim status ina maana gani na je uwainachukua mda gani mdai kulipwa mafao yake maana claim Status tangu isome approved ni wiki sasa na akaunti inasoma amount 0.00 lakini bado sijalipwa shida inaweza...
Habari zenu ndugu?
Kama kichwa cha habari kinavyo eleza mimi nina ndugu yangu anakama wiki sasa anasumbuliwa na tatizo la kuvimba miguu pindi anapokuwa amekaa au kutembea kwa mda mrefu lakn akilala inasinyaa shida itakuwa nn..?
Habari za jion wa wakuu,
Leo nimejaribu kuangalia mwenendo wa malipo yangu kwenye account yangu ya NSSF imekuta claim status imeandika pending hii inamaana gani?
Na ni takribani wiki ya nne tangu ni wasilishi fomu.
Ahsanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.