Habari ya kutwa nzima wadau .?
Simu yangu aina ya Tecno L8 imeanza tatizo la kunisumbua charge siku ya pili leo, ukiweka kwenye charge inaweza pandisha asilimia labda hadi 15 ikaonyesha inapeleka chaji ila haito ongezeka hata niichaji siku nzima, .
Nimebadili system charge nikijua imekufa ila...
Sio kukimbia sababu kasimamishwa mkuu, labda unaendesha basi leo kesho ukaacha kazi watakupata wapi nafikiri ndio sababu y kutoza faini gari nasio mtu, pia sihuwa inakuwepo na lessen no?ktk zile risiti,ila zaidi wanadeal na chombo.ngoja wajuzi zaidi waje hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ninayo sijui nitajichimbia chaka gani mimi nikikumbuka maisha niyo tokea we mwenyezi mungu unikumbuke nami kwani siku ngumu zaidi za mateso ya mwana wa adamu zinakaribia,naona kabisa hata yale mateso ya mama yangu hayato futika kwani aliuza hadi nguo zake nipate elimu ehh mungu wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.