Pole sana mkuu, nafikiri ikiwa uli observe procedures zote na ku maintain ethics, usiwe na shaka,jiamini tu.
Ukiambiwa ajali kazini ndo hiyo Sasa
Binafsi nilishawahi kutana na hiyo scenario kipindi ni mwanafunzi tena mbaya zaidi ni wakati naifanya mtihani wa clinical, tofauti ni kwamba wewe ni...
Sio kweli, siku hizi vijana wengi tunatumia sana jamiiforum , Mimi mara kadhaa hata nikiwaga darasani huwashawishi Wanafunzi wenzangu kutumia hii platform, binafsi nimeanza kutumia jamiiforum since niko form two till now niko chuo
Kwa mtaani ninamfahamu lecturer Mmoja anatumiaga jamiiforum
Inatokea Rais samia, nae akaguswa na tonetone la chadema, akaamua kuchanga hata million 50,
Je chadema watapokea huo mchango?
Je watanzania wataona ni njia kuelekea maridhiano?
Je kweli Rais anaweza kuwachangia chadema, au ni jambo lisilowezekana
Mpira naurudisha kwenu ma great thinkers...
Mwandishi asikosolewe, Kuna ukweli uliochanganyikana na uongo, imenibidi tools zangu ikiwemo Google lens kuhakiki uhalisia wa taarifa hii.
Ukweli Kuhusu Bomba Hilo Mfumo wa "Sea Outfall": Bomba hili ni mfumo mkubwa wa kusafirisha majitaka ya jiji kutoka maeneo mbalimbali ya Posta, katikati ya...
Katika maeneo mbalimbali nchini, hususan kwenye miji mikubwa kama Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na mingineyo, ni jambo la kawaida kuona mabomba ya kusambaza maji safi yakipita ndani au pembeni mwa mitaro ya kupitisha maji machafu. Hali hii imekuwa ikinifanya niwe na maswali mengi ambayo naamini...
Wakuu, katika pita pita zangu mitaani huwa nakutana na mabomba mengi ya maji safi ya DAWASA yakiwa yamepasuka.
Sasa mbaya zaidi ni pale unapokuta bomba limepasuka mtaroni, yani mitaro ni michafu, alafu bomba la DAWASA likivujisha maji
Kwa mazingira mengi ya mitaro ya Jiji la dar es salaam ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.