Recent content by mabwiku

  1. M

    Msaada sielewi hii hali yangu

    Habari wanajanvi,kuna hali naiona kama sio ya kawaida kwangu,kwenye mikono napata vipele kama vile vya baridi alafu vinakua kama vinatoa vidude vyeupe,nimeenda hospital kupima magonjwa yote majibu yametoka sina shida nipo sawa,labda inaweza kua ni ugonjwa wa ngozi,, msaada kwa anaeweza kuutambua
  2. M

    Msaada kuagiza mzigo toka Nigeria

    Acha utoto,sio kila post lazima mkoment
  3. M

    Msaada kuagiza mzigo toka Nigeria

    Habari wadau,naomba msaada kuagiza mzigo kutoka Nigeria,ni ki parcel cha kubeba mkononi,mwanzo nimeagiza kupitia DHL bei ni kubwa na bado mpaka sasa sijapata, sababu ni watu wa customer TRA hawakubaliani na bei niliyoagizia wakati reference zote zipo mpaka za malipo,hivyo wameniomba bei kubwa...
  4. M

    Natamani kufa

    Hizi mada naziogopa sana,kuna mtu aliwai kuposti hivi watu wakamdihaki sana wakijua ni uongo na kuna watu humu huwa wanatabia za kitoto bsdala ya kushauri wao wanatukana, ambacho hawaelewi ni kua kweli hawa watu wanapitia magumu,kesho yake tulisikia mtoa mada kajinyonga,niliumia sana sababu mada...
  5. M

    Msaada, mwanangu ghafla haongei

    Sidhani kama jibu hili litanisaidia chochote,ungenipa mwongozo ungenisaidia sana kuliko kunihukumu,mimi ni baba,kama wewe unaishi na familia yako mume/mke pamoja mshukuru mungu ndugu yangu,kila mtu kuna maisha anapitia ndugu,ni muda tu utasema
  6. M

    TANZIA Bariega amefariki dunia

    Ana cheo gani mkuu?
  7. M

    Msaada, mwanangu ghafla haongei

    Habari wanajanvi, Samahani kama uzi upo sahihi ama la mnivumilie kwa uandishi naweza kukokesea kutokana na hali niliyonayo kwa sasa sipo sawa. Nina watoto mapacha wawili wakiume na kike wote wanasoma shule moja boarding ni yakanisa wapo darasa la pili wote. Juzi tulipigiwa simu shule mtoto...
  8. M

    Mtoto wa miezi 10 hakui wala hatambai

    Habari mkuu, Nimebahatika kupata mtoto wa kike mrembo kweli kweli, lakini mpaka Sasa ana miezi 10 lkn ukimwangalia ni kama anamiezi 5. Bado hajakaza kukaa vizuri, akikaa kwa muda anaanguka, hawezi kutambaa zaidi ya kukaa na kutambaa. Nahitaji msaada wa kitaalamu ndugu zangu sababu hospital...
  9. M

    Ushuru wa gari kutoka Zanzibar

    Sawa mkuu sababu nasikia Gari ikiwa zenji imetumika kwa muda mrefu kodi inashuka.
  10. M

    Ushuru wa gari kutoka Zanzibar

    Msaada wadau, Kuna Gari nimeipenda ipo zanzibar na muhusika anasema Gari imekaa Miaka 2 kule, ni cc 1800 Toyota celica, nilipomuuliza kuhusu kodi akasema haizidi 2m kitu ambacho nimepata mashaka, kwa wajuzi naomba kueleweshwa kuhusu hili swala.
Back
Top Bottom