Recent content by MABWA

  1. M

    Fedha yote ya Tanzania yetu ni mali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ni kweli lakini ni rais mzima si hamnazo
  2. M

    Hotuba ya Msemaji wa Kambi ya Upinzani bungeni katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi

    Lema ni mbunge wa askari wa magereza kisongo. Wanampa huduma za rais na anaruhusiwa kuonana na kila mfungwa mle ndani
  3. M

    Majaliwa: Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi zingatieni mipaka ya madaraka yenu

    Si wataalam ni makada wa CCM anajua anatwanga kinu cha maji
  4. M

    Gazeti la Jamhuri: Zitto ANYUKWA, Ndege mpya iliyonunuliwa ikiendelea Kutengenezwa

    Anaeshusha marinda shoga yetu kalikoroga
  5. M

    Gazeti la Jamhuri: Zitto ANYUKWA, Ndege mpya iliyonunuliwa ikiendelea Kutengenezwa

    Washusha marinda kazini. Aliyefanya siasa ni nyinyi mnaotafuta kiki.
  6. M

    Gazeti la Jamhuri: Zitto ANYUKWA, Ndege mpya iliyonunuliwa ikiendelea Kutengenezwa

    Sawa mkuu mimi sijiwezi wewe unaweza na unawezwa. Mnatetea upumbavu hadi kwenye misiba hayo ndiyo maendeleo kwenu.
  7. M

    Gazeti la Jamhuri: Zitto ANYUKWA, Ndege mpya iliyonunuliwa ikiendelea Kutengenezwa

    Ushauri mzuri ila vyeti vyangu vyote ni vya Cambridge siyo NECTA. Anza na vyeti vya jpm. Kwa nini phd yake igharimu maisha ya Ben? Tinaendelea kisengere nyuma
  8. M

    Lema angeshiriki maandalizi ya kuaga miili sio kusubiri kipaza sauti jukwaani

    Nani kakwambia hajashiriki na kufukuzwa. Huu ulikuwa msiba wa CCM kujitafuta kiki kwa kudhalilisha marehemu.
  9. M

    Gazeti la Jamhuri: Zitto ANYUKWA, Ndege mpya iliyonunuliwa ikiendelea Kutengenezwa

    Maendeleo yenu siyo yangu. Afadhali ya mkoloni kuliko sasa ambapo hata vichaa wanapata madaraka.
  10. M

    RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

    Wacha wakulane wenyewe
  11. M

    Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

    Kesho mazee asiposema ukweli j4 ukweli utaanikwa. Sasa wewe jasho hadi kwenye ulimi inakuhusu?
Back
Top Bottom