Recent content by mabulaGN

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi waliosema "i you want to sell your freedom get married" waliwaza nini ?

    Nafikiri hizi itakadi hasi kuhusu ndoa zinatokana na uwoga wa majukumu kwa vijana na roho ya ubinafsi. Ukiwa kwenye ndoa na mtu sahihi kwako na ukawa tayari kubeba majukumu,hakuna uhuru utakaokosa. Mwisho wa siku huu ni wito ambao sio lazima uuingie,ila ni muhimu kuwa na ndoa katika wakati sahihi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Karibuni vifaa vyote vya electronics, vyombo, mashuka, pazia n.k

    Nahitaji UPS boss
  3. M

    JamiiForums Tanzania Selection za Muhimbili (MUHAS) zinanichanganya sana

    Hongera,hutojutia kwenda DDS..
  4. M

    JamiiForums Tanzania Napitia nyakati ngumu jamani, haya maisha acheni tu. Msaada wakuu

    Pole sana mkuu!!unahitaji kubadili huo mtazamo wa kurogwa kwanza,kisha ukaweka juhudi katika tiba ya kisayansi na mazoezi. Niliwahi kupata tatizo kama lako nikiwa mwaka wa pili chuo,nimetibiwa sana Muhimbili, lakini nilipambana mpaka nikahitimu chuo na sasa naendelea na shughuli zangu kama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano miaka 5, ndoa miezi miwili imevunjika Shida ni nini?

    nategemea kuanza vikao vya kamati weekend hii,ndoa ni November..maombi yenu wakuu[emoji3064][emoji3064]
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka kogwa imembeba nini kwa mizania ya kiroho?

    mkuu naweza kuzungumza na ww kidogo..kuna jambo linanitatiza
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa mia kwa mia (100/100)

    95...tehtehteeeh
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa mia kwa mia (100/100)

    91.......
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa mia kwa mia (100/100)

    89........
  10. M

    JamiiForums Tanzania Umechaguliwa wapi? Kutana na Wanachuo Wenzako!

    hahah!nashukuru kaka,mpo mwaka wa ngap pale?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Umechaguliwa wapi? Kutana na Wanachuo Wenzako!

    dah!!hapo umenipoteza
  12. M

    JamiiForums Tanzania Umechaguliwa wapi? Kutana na Wanachuo Wenzako!

    muhas doctor of dental surgery
Back
Top Bottom