Recent content by Mabrouk Ally

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kama madai haya ni ya kweli, basi ni aibu sana kwa wahusika

    Kwani yeye ndo alitoa maagizo ya Mbowe kukamatwa? Plus Katiba hairuhusu maamuzi ya mahakama kuingiliwa kama ulimsikiliza jana Rais Samia Suluhu alisema wazi kwamba sheria iheshimiwe otherwise utawajibike
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Naamini mama atafanya jitihada kubwa na kuweka juhudi katika kuhakikisha Taifa linasonga mbele kwenye sekta zote
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna namna unaweza kufanya ili usigongewe mke

    ahahha yani hapo kwenye NB ndo penyewe ahha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuhamisha Wamachinga kwa kuvunja miundombinu yao na kupora mali zao ni uhalifu kwa DSM na Mwanza

    Shida ya watanzania wengi sisi hatupendi kufata yale tunayoambiwa, tunasubr mpk mwisho wa siku ndio tunaanza kuchukua hatua. Endapo wangehama tangu siku walizopewa taarifa sidhani kam ahaya yangetokea kabisa. Kwa yanayoendelea sasa asilimia kubwa ni wamejitakia wenyewe kwani wangeenda kweny...
Back
Top Bottom