Recent content by Mabreka

  1. Mabreka

    JamiiForums Tanzania Nauza mbao za pine,

    ingekuwa powa kama ungesema unapatikana wapi?
  2. Mabreka

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Kafulila kuanzisha kituo cha Redio

    ndo huyu?
  3. Mabreka

    JamiiForums Tanzania Hayati Mabina kuzikwa kesho tar 19/12/13

    yule mtoto aliepigwa risas alishazikwa?
  4. Mabreka

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa mili 10

    hiyo 10 M kama bei ya kiwanja tu.......hata kama nyumba imechoka ni ya kupiga chin, bado hakuna hasara ..........!!!!!!! popobawa!!
  5. Mabreka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maumivu: Niliyemfumania na mpenzi wangu kanipiga

    kweli inaonyesha silaha zikiwa nje nje mauaji yatakuwa mengi sana. Unafikiri kaka Edwin angekuwa na bastola tungekuwa na stori gan kwenye magazeti ya Jana na leo?
  6. Mabreka

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya ist inauzwa

    kuna watu wnakuuluza maswali kwenye ule uz mwingine ama waombe Mood wauchanganye
  7. Mabreka

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    hapo ndo pamenifurahisha
  8. Mabreka

    JamiiForums Tanzania Sheria iko pale pale

    Kapuya au?
  9. Mabreka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WAKUU WENZANGU KUNA DADA KATAKA HUU USHAURI NIMJIBU VIPI? NIPENI USHAURI WENU JAMANi

    je aliporudi safarin alikuwa na begi? Aseme aliposafiri alimwacha mshkaji ndo kachinjia njiwa wake humo gheton. NB usijepeleka magendo ghetto.....utaabika siku si zako
  10. Mabreka

    JamiiForums Tanzania Nina 10m nahitaji gari Harrier au Xtrail.Niko mwanza

    hivi sister uliipata kwa PM, manake hapa hakuna mtu alionyesha nia ya kuuza NB ulikataza mawasiliano ya pm, au watu walikiuka katazo?
  11. Mabreka

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupangisha inahitajika arusha mjini bei btn 100,000/= to 150,000/=

    mpigie huyu hapa 0764 28 14 15
  12. Mabreka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 20 Questions To Ask Your Potential Spouse

    majibu yake tunayafanyeje sasa?
  13. Mabreka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa siku hizi hawanatofauti na mwanaume

    mie nasikiaga tu, ila sinauzoefu nalo
  14. Mabreka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa siku hizi hawanatofauti na mwanaume

    hapa ni kiviziana tu, "ukilala tu lazima ukatwe kiaina"
  15. Mabreka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majanga Majanga..tumehamia kwa wanaume wa kichaga..!

    hiv helement inaweza zuia risasi? sasa hiv natufuta zile vest za kuzuia risasi (bullet proof) nitazipata wapi?
Back
Top Bottom