Recent content by Mabendazol

  1. M

    GE2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza

    Kaka hili nilishalisema sana. Watu wa TBC wanaboa baraa! Wao ndo wanakuwa wazungumzaji wakubwa . Nimehamia chanel10 saivi au clouds. TBC mpaka ifumuliwe.
  2. M

    GE2020 Sitaki kuwa mnafiki. WanaCCM awamu hii tunaburuzwa na Mwenyekiti

    Kiujumla vyama vya upinzani mwaka huu vina khari Mbaya sana. Huku jpm Huku mwinyi Huku Samia suruhu Huku majariwa!!!!? Vibwagizo vya wanamziki wte!!! Sijajua mbunge wa upinzani atakae rudi bungeni.
  3. M

    Jaq Mrema: Ujumbe mzito alioaacha twitter kabla ya kifo chake

    Kifua kikuu nishida mno has a ukikaa nacho mda mrefu huku unatumia Dawa za kufubaza bila kupona! Kikija kukubana Duh.....! Mungu amsaidie ndg ytu.
  4. M

    Jaq Mrema: Ujumbe mzito alioaacha twitter kabla ya kifo chake

    Itakuwa Athima au TB. Km kaweza mpaka kuandika!? Magonjwa hyo ndo yanatabia hzo! Mungu atamsaidia Na atapona.
  5. M

    Tukio la George Floyd limeonyesha ukatili wa wazungu wanaheshimu Mbwa kuliko Mwafrika

    MAHAKAMA ya kisutu imeshtukia janja janja ya ZITTO . Huyu bwana alinyoa kabisa akijua ataenda jera ili asingizie wamemwogopa kuelekea uchaguzi Mkuu ujao. Hizo mbinu zenu zimeferi ila baada ya uchaguzi ukirudia unakula mvua! Upigwe kwanza huku kwenye kisanduku cha kula mwezi October. Ili ukoswe...
  6. M

    Tukio la George Floyd limeonyesha ukatili wa wazungu wanaheshimu Mbwa kuliko Mwafrika

    Acha uongo we! Wa America weusi wanaandamana mpaka Leo wakitaka hao askari wafunguliwe Mashtaka kiasi cha kuchoma moto kituo cha police we unatudanganya hapa! Nawaandamanaji Mr president kawaita vibaka Na akaamuru wapigwe risasi. Jehu.
  7. M

    Tukio la George Floyd limeonyesha ukatili wa wazungu wanaheshimu Mbwa kuliko Mwafrika

    Kuna wajinga frani wanawashabikia sn wa marekani! Kiasi kwamba akikuambia usiingie nchini kwake unahisi utakufa! Wamuulize yule barozi wa USA hapa Tz kwanini hajatoa tamko LA kuuawa mwafrica huko kwao?
  8. M

    Ramaphosa is the only Black man to Own this kind of Cattles in South Africa

    Hongera Yake ila awalinde majirani zake
  9. M

    Waziri Ummy Mwalimu, unadhani Watanzania ni wajinga sana?

    Yani ndg yangu huyu waziri nadhani ameongea akapitiliza, wakati mwingine kuongea sana kunaleta Shida!
  10. M

    Dada aliyekutwa na Corona Tanzania siyo bure

    Huyo alikuwa anajua, Na alikuwa anafanya Kwa maelekezo, hivyo asingefanya kinyume cha maelekezo, angekuwa mstaarabu angeeleza pale uwanja wa ndege lkn alitaka atomize maelekezo ya Kazi yke. Huwa wanafanya Kwa maelekezo maana wanakuwa wanalipwa .
  11. M

    Dada aliyekutwa na Corona Tanzania siyo bure

    Mzee umeona mbari sana. Hili nijambo fikiriki, lakini mm imenifanya nifikiri mbere zaidi! Nimda Sasa Kwa waziri Na naibu waziri wake wakae pembeni! Sababu Ni hii... Waziri wa afya alisema wamefunga mitambo sehem zote nyeti kuwapima wageni wanao ingia nchini vikiwemo viwanja vya ndege...
  12. M

    TANESCO Mwanza, kuna mgao rasmi unaendelea?

    Au swala la kuwa kaletwa kumhujum magufuri limetoka wapi
  13. M

    TANESCO Mwanza, kuna mgao rasmi unaendelea?

    Sasa yy anakata ili iweje!
  14. M

    TANESCO Mwanza, kuna mgao rasmi unaendelea?

    Kifupi nikwamba Tanesco MWANZA iliharibika, kunawatu wamekaa hapo miaka nenda rudi kiasi cha kujiona wao ndo MWANZA Hata mama alitolewa Kwa kigezo kuwa mkoa umemshinda lkn kiukweli alikuwa anahujumiwa ila hakuwa Na uwezo wakubana watu wake. Huyu bwana namjua tangia akiwa Ruvuma kwenye Umeme wa...
Back
Top Bottom