Recent content by mabala family

  1. mabala family

    JamiiForums Tanzania Gari yangu haijawahi kutoka Dodoma, ila ina deni linaloonesha ilikamatwa Dar

    Hata mimi nimepitia changamoto hii kuandikiwa deni gari ikiwa morogoro-ifakara, Nikifuatilia polis lakini sikupata msaada wowote ,zaidi ya wao kusema inawezekana ulimpa mtu gar akaenda huko!!? Mwisho wa siku ilibdi nilipe deni la kosa ambalo gari haijawahi kufika ifakara, niusumbufu tu barabaran
  2. mabala family

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Maaskofu wa TEC kuomba NOVENA na Rais kukimbilia kikao cha Maimam ni kuligawa Taifa kidini

    Ni sawa na Magufuli pamoja na kazi kubwa aliyofanya ya kujenga nchi; Lakini kuzuia chanjo ya COVID huo ulikuwa mwisho wa mipaka ya uvumilivu wa vyombo vya usalama
  3. mabala family

    JamiiForums Tanzania Nishaurini namna ya kutoka kwenye huu mtego

    Unaona sasa!
  4. mabala family

    JamiiForums Tanzania Nishaurini namna ya kutoka kwenye huu mtego

    Yaan hapo kwenye kumpiga chin halafu ukarudiana naye ndio hisia zako zipo kwa hiyo bint, Muoe! Bora hiyo hisia hazipo;zitakuja na hutoteseka, LKN pale kwenye 9/10 wife material vyombo kwenye kabat vianze kugongana utamkumbuka X, Kama Binti anajishughulisha na ana akili ya maisha, Chukua huyo
  5. mabala family

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu wanaume

    Utasikia ges imeisha! Utajikung'uta vijana wapate kula. Ngoja sasa akope huko au atoe hela yake kwa jambo la familia, yaan mpaka utakereka hilo deni utafikria kausha damu
  6. mabala family

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    Ninaweza kupa jiko kama hilo ila plate 2 gas, 2 umeme na oven umeme?
  7. mabala family

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu wanaume

    Nimependa hapo kwenye kumuachia nyumba mwezi mmoja apaone kwenye familia kama patamtosha😂 Hilo ndio wazo langu huzunguka ktk chwani changu ili apake kupunguza makelele yake na ubinafsi
  8. mabala family

    JamiiForums Tanzania Wanandoa kununiana mwisho inatakiwa kuwa siku ngapi?

    Haya mambo hayana mwenyewe! Hawa dada zetu akili zao wanazijua wenyewe, ukiishi na mwanamke ndani kuna mengi utayasikia na kuyaona. Kuta ziendelee kutuficha
  9. mabala family

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu wanaume

    Asante sana kwa kulitambua hilo ijapokuwa wanawake wengi hawalioni hilo. Kilicho kichwani mwake ni yeye yeye tu na kuangalia watoto na si familia kwa ujumla kama baba afanyo
  10. mabala family

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Asante, ngoja niipeleke kwa fundi
  11. mabala family

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Gari yangu ina tatizo kama hili la oil kupungua, Haina changamoto yoyote kwenye speed au nguvu. Tatizo wakati wa kuiwasha asubh kama itakuwa imekaa siku bila kuiwasha inatoa moshi na pop sound. Tatizo hili mafundi wamekula hela yangu sana na tatizo bado lipo, nimelikubal ! Ushaur wako mkuu
  12. mabala family

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Gari yangu ina tatizo kama hili la oil kupungua, Haina changamoto yoyote kwenye speed au nguvu. Tatizo wakati wa kuiwasha asubh kama itakuwa imekaa siku bila kuiwasha inatoa moshi na pop sound.
  13. mabala family

    JamiiForums Tanzania Mninga

    Nenda wakala wa misitu TFS lipia gharama za kila mlango au bidhaa yyote ya mbao ni rafiki sana na fuata masharti yao ya kusimama kwa kila geti kwa ukaguz. Mambo ni rahisi sana
  14. mabala family

    JamiiForums Tanzania Mkali wa ujenzi wa kuzuia paa kuvuja

    Hapo umejibu kiufundi sana! Hivyo kwa square meter 1 ni sh ngap?
  15. mabala family

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    Gharama mpaka arusha
Back
Top Bottom