Recent content by MABAKULI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kibajaji amwombe msamaha Rais kwa kusema Wabunge wanaoteuliwa na Rais wanatakiwa kuwa "Chawa Wakuu"

    Alichokisema kibajaji Mimi naona kapigilia msumari wa bati kwenye maneno ya bashiru , kibajaji angemalizia kwa kumshauri bashiru aombe msamaha kwa watanzania kwa kosa walilofanya CCM kutuletea Tena raisi mbovu kuliko marehemu, tabu vigezo mlivyotumia kumpitisha huyu ni kulinganisha Samia na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mdee na wenzake: Shahidi Nusrat Hanje amuomba Jaji warudi kwenye Vikao vya CHADEMA wakayamalize

    Awamu hii imetusaliti wale wote TULIOKULA CHA MAGUFULI, katika maeneo na wakati mbalimbali na kiukweli aliyefaidi mapigo na midundo ya MAGUFULI ni CCM kwa mfano;- (1) wabunge feki 19 wa cdm CCM inafaidi kimataifa misaada inapata (2)wenye kesi pccb wengi wao walitumika kwenye halmashauri za...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ndio kwanza nina miaka miwili, bado miaka yangu mitatu

    Huyu Mama mbona amefanana kila kitu na Jiwe, lijiwe nalo livyookota CCM pale mitaa ya Lumumba, akaanza mbwembwe za huyu bibi kinaje kinanguruma,akafika mahali akaanza kukorokochoa roho za watu kama kina Lissu , akajiona mungu, mwisho wake mliona Jiwe kuugua tu na kundei pale muhimbili alikataa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tumejipangaje?

    Hivi unategemea mtu kama kihongosi, chongolo atakuwa anawaza nini saa hizi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kila Rais toka CCM humuachia mwingine Serikali mbovu?

    Kama kwenye ziara huko Kigoma na Geita kaalikuwa kanakohoa kweli mpaka kanaleta matumaini tena
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, Makamba umetangaza nia kupitia CC Geita?

    C C M utani tani wenu mtatuponza Tena lije lijiwe lingine Tena
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini TAKUKURU mpaka waagizwe kufanya uchunguzi wakati na wao wapo huko huko kwenye matukio?

    TAKUKURU hii ya Sasa ni kama uvccm tu, Tanzania inahitajika katiba mpya ambayo ukiemda TISS, CAG, PCCB, unawakuta wako huru, mavy0mbo kama hayo uanakuwa huru ungeona siku Samia anamteuwa P Mpango kuwa makamu jioni angekamatwa pamoja na sabaya, na Ile Mwigulu anamaliza kusoma bajeti ya mwaka wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Maovu ya kuuana, kudhulumiana bado yapo Nchini, tuyakemee

    Kweli nimeamini nyie kina BUKU SABA mnatakiwa mfanyiwe matanga
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya ziara ya Kiserikali nchini Msumbiji, ahimiza kutumia fursa za kibiashara zilizopo katika nchi hizo mbili

    Nilivyoona taarifa ikulu nikajua BASI LA KIMBINYIKO limetuamulia utata wa uhai wa kibibi hiki
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Hicho kibibi CCM, nakiona ni aina ya vibibi vikisafiri kutoka Iringa kwenda dsm kikifika ipogoro kinanunua muhindi wa kuchemsha kinakula , kikifika igumbilo kinanunua yoghurt ya buku kinakunywa, kikifika ilula kinanunua nyanya kindoo kimoja
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Amekoma Hawa watawala wanavyotufanyiaga mauaji ya kimbari, Leo nao wamekaa kama waombolezaji wa kimbari au waombolezaji wa kwenye kiroba
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Huyu mama yao kina MWIGULU, Shaka hakualikwa, hata angealikwa badala ya kumzungumzia marehemu, angeanza kutaka miradi ya kimkakati anayotudanganya anamalizia,
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huu sasa ni upendeleo wa wazi BBC

    Akiingia BBC huyo mama yenu CCM ,Scotland yard lazima wafunge Studio, watahisi BbC imevamiwa na kibibi tarabush
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria uapisho wa Rais Mteule William Ruto

    Hicho kibibi chenu kinaemda haribu sherehe , kikibahatika kuhutubia kitazungumza kuhusu ujenzi wa madarasa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

    Huyu mjingajinga wetu hawawezi mwalika huyu akazanage kuhudhuria misiba ya vijana wake wa kitengo Cha chawa wasiojulikana, kama TISS, PCCB, CAG nk, kuapishwa Ruto tu Kenya wamemtosa SSH na bado
Back
Top Bottom