Recent content by Mabafu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Ntobi ni moja ya ishara kwamba Lissu na kundi lake ni madikteta kama alivyokuwa JPM, hawataki uhuru wa mawazo

    Uandishi wako tu,unaonyesha una kiwewe cha uchaguzi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Sikutarajia yaliyoandikwa na Kabendera yangewekwa hadharani wakati wa uhai wangu

    Huyu mzee naye ni mganga njaa tu,ukiona mtu anapambana na marehemu huyo ana changamoto za Afya ya akiri.
  3. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Naombeni kujua huu ni ugonjwa gani unaotutesa hivi mimi na familia yangu

    Dawa yake ni elfu mbili tu,na ni ya kupaka inaitwa BBE,tusimgeuze fursa ndugu yetu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Naombeni kujua huu ni ugonjwa gani unaotutesa hivi mimi na familia yangu

    Huu ni upele,kitaalamu unaitwa scabies,tumieni dawa inaitwa BBE. Huu ni ugonjwa wa upele,kitaalamu unaitwa scabies, Tumia dawa inaitwa BBE.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu nachanganyikiwa, nimekuta Mijusi wakubwa geto

    Kwa chumba hicho hawa wadudu ndio mahali pao salama kabisa kuishi,chumba kama holi la mifugo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

    @,!Nadhani hujaelewa lugha iliyo tumika,ni semina inayo endeshwa na Dr.wa philosophy ya imani ya kiislamu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla apata ajali

    @Alihatarisha maisha yake mwenyewe,kwa chombo alicho tumia.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinisaliti nimebeba mimba ya mwanaume mwingine ananiambia niitoe ili anioe

    Unapo elekea utapigwa tukio na huyo bwana wako anaye kwambia utoe hiyo mimba, ambalo hutakuja kusahau maishani mwako,blad faken kabisa wewe.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jamani huu ni ugonjwa gan na dawa zake ni zipi?

    Scabies(upele)
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yamenifika shingoni sijui la kufanya mimi

    Huyo amaweza akuwa sio Biological father wako,muulize vizuri Mama yako.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimepewa Taarifa na washikaji zangu kijiweni kwamba kuna watu wananitafuta

    Tusubilie kuona mwisho wa huu mkwara wako.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jirani anazalisha K Vant feki na kuziingiza sokoni, nimripoti wapi?

    Wivu tu wa maendeleo!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

    Hii post imekaa ki wivu wivu sana sana juu yawatu wanao ishi mjini!
Back
Top Bottom