Recent content by mabadmpenda96

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi ' Waandamizi ' na ' Waliostaafu ' bado huwa wanapewa Vyeo badala ya kuachwa Wapumzike?

    Sio kweli kuwa hawa wazee wameajiriwa. Hawana mshahara kwa majukumu yoyote ambayo wamepewa kuyasimamia. Tafsiri sahihi ya kuajiriwa na sharti ulipwe mshahara kwa majukumu ufanyayo. Hawa wazee hakuna wanacholipwa na teuzi zao kimsingi si za utendaji ni ceremonial
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete apewe Ubaba wa Taifa

    Wewe una akili mbovu sana. Utamwitaje Mzee wetu wa heshima Mwana CDM. Kwanza nina mashaka na unavyojiita mwana CCM utakuwa maamluki tu. Kumkejeli Rais mstaafu ni utaahira
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

    Sanaaaaaaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete apewe Ubaba wa Taifa

    Wana JF, Muda umefika sasa tuwe na Baba wa Taifa. Na baba anayefaa kushika hii nafasi si Mwingine bali ni Mhe. saana Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE. Ana Sifa na weledi wa kupewa hiyo nafasi. Tuanze sisi wengine wafuate Nawasilisha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Trafiki Arusha waibua Shangwe kwa RTO Bukombe Kung'olewa

    Mhe. Waziri Kangi Lugola yupo vizuri siku zote sio suala hili tu. Anatekeleza ilani ya chama chetu kwa vitendo. Ni vema watu waelewe CCM inatenda mema kwa wananchi jamani kuna mambo muwe mnakubali sio kila jamba kuona baya
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Watanzania, huu ndo ukweli mkavu kuhusu Tanzania 2019

    Pia nimeshangaa! nadhani mleta hoja amepata taarifa hii toka upande ambao haututakii mema. Katika orodha hiyo vipi imekosekana Zimbabwe na Burundi? Angalau ningeziona hizo nisingehoji sana na kuishtukia hii taarifa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joshua Nassari anaweza Kwenda Mahakamani

    Bila shaka mtu ukiwa na akili timamu jambo hili huwezi kuliunganisha na chama makini kama CCM. Huyu Kijana ni mpuuzi tu! QUOTE="Twoten, post: 30745914, member: 224771"]Nasali kanunuliwa na ccm
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tutayajua mengi sana endapo Mh. Nassari atafungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga kufutiwa Ubunge, kama ambavyo nimemshauri

    Ujana na dharau nyingi sana. Sioni sababu ya msingi inayo shawishi kwanini alikuwa haendi bungeni. Pia kwanini wabunge wenzie walikuwa hawampi ushauri juu ya jambo hilo ambalo lipo wazi kikatiba na kanuni za bunge. Mambo mengine mta mulaumu sana spika au rais wa JMT kwa kuwaonea tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zawadi ya gari alilopewa Tundu Lissu ni mali ya bunge si CHADEMA

    Ili kuonyesha uzalendo na upenzi kwa nchi yako basi ni vema gari hilo likakabidhiwa kwa serikali ili iwe kumbukumbu na mchango wa mbunge TAL. Chadema onyesheni mfano kwa wananchi ili na wengine wafuate
  10. M

    JamiiForums Tanzania Siyo Tundu Lissu anayeichafua nchi hii nchi za nje bali watawala wetu ndiyo wachafuzi wakubwa

    Tunaweza tukaisema sana Serikali wakati huenda si kweli. Huyo Wakili inawezekana pia ni akili yake binafsi iliyopelekea akawasilisha maombi hayo Mahakamani bila kutumwa. Na si lazima Serikali ianze kukanusha ilimradi mahakama imeamua vema. Tupunguze munkari jamani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Shilingi kushuka thamani na hali mbaya ya uchumi wetu: Sababu ni nini na nini kifanyike?

    Mhe. Umeandika vizuri hoja zako lakini naona kama zimeegemea upande mmoja. Sasa nikuulize maswali ili ujazie hoja zako ziweze kuiweka mizania ya hoja ulizotoa sawa. Maswali; Je! Wapinzani, hasa wewe na Mhe. Lissu kuisema kwenu serikali yetu nje ya nchi bila huruma hakuchangii kuporomosha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu si wa kupuuzwa, anapaswa kujibiwa

    Nadhani Serikali ingekaa kimya. Haina haja ya kumjibu wala kumtolea maneno makali
Back
Top Bottom