Habari za jumapili wadau, ni matumaini yangu mko poa nyote, to cut the long story short ni ivi, miaka miwili nyuma nilitokea kumpenda msichana mmoja mrembo sana, alikua ni msichana wa kisasa nikimaanisha alikua anapelekwa na matukio ya dunia kuparty sana, kunywa pombe,kuvaa mini skirts n.k...