Recent content by Maarifa

  1. Maarifa

    JamiiForums Tanzania Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

    Nilidhani ni a kina Tata Mura nakugecha ndiyo mabingwa. Angekuwa mkurya .... .
  2. Maarifa

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

    Soma kitabu matukio siku za mwisho, hutashangaa
  3. Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga akipoteza mchezo wa leo naomba nipigwe Ban kwa miezi 6

    Ban inakuotea na umeiomba mwenyewe!
  4. Maarifa

    JamiiForums Tanzania Panya Road wavamia Bunju Magengeni, maduka yafungwa kwa kuhofia usalama

    Kamanda mlilo hajawasikia?
  5. Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afika Ofisi ya RPC Dodoma kuona na kuchukua gari lake

    Bado spea ziko sawaa? Huwa wanang'oaga za muhimu. Isije ikawa limebakia box tu
  6. Maarifa

    JamiiForums Tanzania Uungwana: Alhad Musa Salum akabidhi Ofisi kwa Uongozi Mpya wa Bakwata DSM

    INA Maana rafiki miwani huoni hapo?
  7. Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nini hasa kinaendelea ndani ya CWT (iwafikie walimu wote na jamii ya Watanzania)

    Naomba kueleweshwa je picha ya jamaa suruale ikiwa nyevu! na uteuzi huu vinHUSINA NINI?
  8. Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mafundi Magari wa Kibongo hufanikiwa kujiinua kwa Promo halafu ukiwapatia kazi wanajiua kwenye kazi ya kwanza tu

    Zaidi sana mafundi wetu hawa nyundo mkononi ukipeleka gari make sure unasimamia Bila hivyo a. wataiba spea za maana b. kazi watalipua! sana c. hawagusi gari mpaka uwepo , ukiondoka anaanza mishmishe zingine
  9. Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Division ZERO 2023

    idadi ya wanafunzi 1070 duhh wengi hivi hapo nini kilitegemewa? kama sio hayo?
  10. Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

    Huyu naye kachemka - mbona hakumwambia makamba wakati wa mkutano mkuu!! tena maakamba alitia live mbele mama janeth! Siasa buana!! mh!!
  11. Maarifa

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu faida za Muungano wetu na Zanzibar

    umedesa majibu ya mwanafunzi darasa la saba mkoa wa Mara alipomjinu mkuu wa mkoa
  12. Maarifa

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu faida za Muungano wetu na Zanzibar

    Ameuliza faida ni zipi? Kuwa mtanzania ina faida zaidi ya kuwa mtanganyika . Weka nondo hapo
  13. Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

    Hili ni Donda Ndugu. Nyerere na ujanja woote alikwama! Hawa wengine wanapapsa tu. Ngoja tuone samia! Ila ukweli labda katiba ije
  14. Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

    Muungano wetu Tanganyika na Zanzibar ni wa asili. Hasa wazanzibara. Hivyo ili kuweka sawa kule ni mikoa 5 tu na serikali moja kwisha. Vinginevyo tuwe na federation . Lakini hii ya chetu cha wote lakini chao ni chao karne hii naona giza
Back
Top Bottom