Kwanini askari magereza na polisi wanafanya kazi katika mazingira magumu?. Kwanin wasiongezewe mishahara na posho? Kwanni posho ambayo serikal ilipanga kuwapa hawapewi? Sasa kwanin kusiwe na mabadiriko? Kwanin wasipige kura kuleta mabadiliko?
Me nashangazwa na ubinafsi wa watanzania waliopo madarakan. Kwa mfano liangalie suala la uboreshaji wa huduma kwa askar magereza na polisi ambao wanafanya kaz katika mazingira magumu, leo uniambie nin, nataka mabadiliko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.