Recent content by maaka

  1. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Tume inataka kunihujumu Kigoma Kusini

    Mungu atateta na hao wanaoteta nawe, Mungu awatawanye mbali maadui zako kwa fimbo yake ya chuma
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kinachofanywa na ITV ni kinyume cha maadili

    ITV is the best tv station in TZ so far. AZAM nilinunua hadi decoder yao na nawapongeza kwa quality nzuri lakini ITV ni beyond explanation, coverage, courage, speed a hakuna anayewakaribia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa azungumza na vyombo vya habari, Ailaumu NEC kutoa matokeo yanayompendelea Magufuli

    upo sahihi, mfano dsm ukiguza jimbo moja ni kati ya w2 laki 6 mpaka 7 watu wasikate tamaa hii ni psychological stratergy. Imani ni hakika ya mambo yasioonekana na bayana ya mambo yatarakiwayo 'mtu akiweza kukuondolea imani kuwa unashindwa tayari unaweza kushindwa hata kama mwishowe amekuibia'...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Ninaujasiri mkubwa kuwa aliyeshinda kihalali ndiye atakayekuwa rais wetu, Mungu hajalala tusife moyo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Jamani Hotuba ya jana Ya Mh E. Lowasaa ITV nimeirudia kwa utulivu na nashauri watanzania wote bila kujali vyama tumuunge mkono EL na UKAWA kwa kweli hili ni jibu kwa mahitaji yetu kwa sasa. Hata jagwani haitaji kusema mengi tumeshamwelewa na tunamwombea apite kwa asilimia kubwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Lubuva jipime tena, Ukiona yanakuzidi uzito, jiuzulu

    Miaka kama 70-80 ijayo sisi tuliopo leo including Jaji Lubuva , wakurugenzi wa Tume na hata wagombea wetu hatutakuwepo Tz ila watoto na wajukuu wetu watakuwepo maana yake Tz itaendelea kuwepo hivyo maamuzi yetu ya leo ndiyo furaha ya mama Tz kesho. Nafasi aliyonayo jaji Damian Lubuva ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mnafanya Usajili wa Nazir Karamagi basi nami nitakuwa sina imani nanyi

    Miaka kama 70-80 ijayo sisi tuliopo leo including Jaji Lubuva , wakurugenzi wa Tume na hata wagombea wetu hatutakuwepo Tz ila watoto na wajukuu wetu watakuwepo maana yake Tz itaendelea kuwepo hivyo maamuzi yetu ya leo ndiyo furaha ya mama Tz kesho. Nafasi aliyonayo jaji Damian Lubuva ni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa Synovate: Magufuli aongoza kwa 62%. Yabainika watanzania bado wana imani na CCM

    Waweke tafiti online na mwatangazie watu watoe maoni kama wanavyofanta Marekani hizi nyingine ni za kisiasa na wala hazitawa influence wapiga kura kwa vyovyote. Wamenunuliwa akina Slaa na Lipumba sembuse Synovate na Redet na Twaweza wasaka tonge???? This time around ni # MABADILIKO# Mungu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA itashindwa kupitia mawakala wa vyama sita

    Mawawakala wazalendo wa ukawa pamoja na Malaika wa Mungu katika kila kituo, usihofu
  10. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa for change!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa sentensi nzito "Kumbukumbu" vijana tuko na wewe mpaka Ikulu

    Watu wanahangaika kupambana ni mabadiliko, mambo mengine yanasababishwa na supernatural power, kaulize Farao alikutwa na nini alipojaribu kuwazuia Waisrael kuondoka Misri...sasa yaliyowapata ni kufunikwa na maji ya bahari ya sham! Haya Ndiyo yatakayowapata ccm 25.10.15, lets wait
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 yatakayowapa UKAWA ushindi katika uchaguzi 2015

    MAMBO 5 YANAYONIPA AMANI YA KUWAWAPA DHAMANA UKAWA FOR 2015-2020 i. Elimu ii. Katiba mpya iii. Usimamizi wa utawala wa sheria na uwajibikaji iv. Ulinzi wa rasilimali hasa gesi na mafuta v. Chachu ya vijana/ushirikishaji wa vijana vi. Dhana ya mabadiliko/changes: A. Elimu, Elimu, Elimu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

    Unfortunately voters have decided, labda mnatafuta kura za Slaa, Mushumusi na Lipumba hii tuna uhakika mpaipata, otherwise don't bother we've made up our minds. EL is our Hero...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini, Slaa anatumika kuingiza nchi kwenye machafuko uchaguzi huu

    Kwa kweli Slaa ananihuzunisha sana, kapungukiwa na hekima, kavaliwa na pepo mchafu hasikii maonyo it's devastating. Namshukuru Mungu hakuwa mgombea urais hivi si angetuaibisha? Kiongozi gani asiyejua kuwa maneno huleta vita, anathubutu kuwachonganisha wamaasai na wambulu mpakani? Anawasema...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Njombe: Mwendelezo wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    anaongea machache kwa authority sana hana blaaa blaa...huyu jamaa ni solid presidential material hamwogopi mtu....i can imagine hata mawaziri watapewa rev4 au grand vitara. Kweli nimehakikisha siyo tu maamuzi magumu ila ni ya hekima, busara na ufahamu. "namalizia kwa kusema kiwa a true...
Back
Top Bottom