Haya ndiyo maendeleo stahiki, anayebisha ni yule tu asiyejua kuwa maendeleo hayaji mara moja kwa kila eneo ni lazima kutakuwa na sehemu ya mwanzo wa jambo fulani na wengine wakaanzishiwa lingine hatimaye maendeleo yatapatikana kwa ujumla...HIVI HATUJUI KUWA KILIMANJARO UMEME WA GRID YA TAIFA...
Ni suala la ahadi, ikishafika haihepukiki.....Mungu amlaze mahala panapomstahiki askari wetu.....Tujue fika hakuna anayeweza kumuua askari wake kizembe ila ni suala lililokwishapangwa na Mungu hatuwezi kulipangua.:crying:
Hivi inakuwaje watu wanatetea maovu? Nitamuelewa atakayesema kuwa " Lwakatale alikodiwa na maadui wa CDM ili kukichafua" lakini anayetia hila ya kuitoa uthabit hii video ni mshabiki tu, mi namjua Lwakatale, sura niliyoiona ni yake sina shaka kabisa na maneno niliyoyasikia yalikuwa yanatoka...
Anyway, mi nadhani kwenye mafunzo ya kisasa ya polisi UHALIFU unatafsiriwa tofauti na tujuavyo sisi raia!! Sishangai sana kwani siku hizi nao wanajifunza huduma kwa wateja:tape2:...:tape2::tape2: Kwa wateja gani???? Tumeshawahi kujiuliza hilo??? au:rockon::rockon:?
Lakini kitakachofanyika ni kilekile, siku hizi technohama inawezesha kuhakiki matangazo huku yakiwa hewani na kisichotakiwa kusikika/kuonekana kikawa omitedbila mtazamaji kugundua.....So the bottom line is HATUTAKUWA TUKIPATA KILA KINACHOTENDEKA NDANI YA BUNGE.
Tumezoea kuona matamko ya namna hii yakitolewa na upande huu, yawezekana wana lao, kwa nini hawajamtaja mkuu wa mkuu wa Jeshi la wananchi, kamishna wa TRA, TAKUKURU na kwingineko ambapo upande wao wamesheheni...Mbona waislam hawakuwahi kutoa tamko la namna hii wakati wa tawala zilizopita ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.