Kova: Kutekwa kwa Kibanda si tukio la kihalifu!

What's wrong with this dude?
Kwahiyo Police ndani ya masaa machache wameshafanya uchunguzi na wameshapata majibu!!
Kwahiyo hao wahalifu wako wapi? wamekamatwa? kama hawajakamatwa, hiyo conclusion kaitoa wapi?
Ni hypothesis au ni kitu gani?

Upuuzi mwingine unaambukiza nafikiri. Wameambukizwa na Mpuuzi Mkuu.

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Suleimani Kova, amedai kuwa kutekwa na kuumizwa vibaya kwa Mwandishi nguli na Mhariri wa New Habari,Absalom Kibanda, si tukio la kihalifu. Kamanda Kova amedai kuwa tukio hilo limetokana na chuki na kulipiziana visasi.

Hii ni kwasababu waliomteka na kumshambulia Kibanda hawakuchukua kitu chochote toka kwake. Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari kutoa taarifa za uchunguzi wa awali wa jeshi la polisi juu ya tukiohilo lililotokea jana,

Kwahiyo kutekwa na kushambuliwa si uhalifu? Nani anaweza kumwamini Kova aliyewahi 'kuwasha' sinema ya Dr.Ulimboka na anayeshindwa kuizima hadi sasa?

Mimi nadhani huu ni ugaidi. Nchimbi bado tu hajawaita CIA na FBI?

Nilimwangalia anavyoongea kama kawaida yake na habari za uongo wa kuungaunga hajiamini lakini akituona watz wajiiiiinga.Lakini ajue hakunaga atakayeishi milele,Adhab ya kabri yamsubiri.

Kova aache speculation. Kova is a professional.Kama hana facts kwa nini akubali kunukuliwa na vyombo vya habari? A senior Police Officer shoudn't talk like a militia.

Tuanze kuchambua maana ya uhalifu, uhalifu ni tendo lolote ambalo ni uvunjaji wa sheria. Anaposema kutekwa na kuumizwa kwa Absalom Kibanda si tukio la kihalifu nadhani amekosea ulimini, alitakiwa si tukio la kijambazi. Jambazi huwa analengo la kupora lakini kwa tukio hili haikuwa hivyo. Kwa maana hii tukio linakuwa na definition nyingine lakini ni UHALIFU TU.

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Suleimani Kova, amedai kuwa kutekwa na kuumizwa vibaya kwa Mwandishi nguli na Mhariri wa New Habari,Absalom Kibanda, si tukio la kihalifu. Kamanda Kova amedai kuwa tukio hilo limetokana na chuki na kulipiziana visasi.

Hii ni kwasababu waliomteka na kumshambulia Kibanda hawakuchukua kitu chochote toka kwake. Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari kutoa taarifa za uchunguzi wa awali wa jeshi la polisi juu ya tukiohilo lililotokea jana,

Kwahiyo kutekwa na kushambuliwa si uhalifu? Nani anaweza kumwamini Kova aliyewahi 'kuwasha' sinema ya Dr.Ulimboka na anayeshindwa kuizima hadi sasa?

Aisee, this is very serious. We dont know who is the next victim? Could be any member of the JF!!! We need to demonstrate kulaaani unyama huu!!!

Anyway, mi nadhani kwenye mafunzo ya kisasa ya polisi UHALIFU unatafsiriwa tofauti na tujuavyo sisi raia!! Sishangai sana kwani siku hizi nao wanajifunza huduma kwa wateja:tape2:...:tape2::tape2: Kwa wateja gani???? Tumeshawahi kujiuliza hilo??? au:rockon::rockon:?

Huyu Kova si ndio akiwa mbeya alikua anakusanya silaha mbalimbali toka store na kuita waandishi wa habari na kutangaza kuwa zimekamatwa kwa wahalifu? Hana jipya.

Labda tumuombe atupatie definition ya uhalifu. Inawezekana ndo maana matukio kama haya yanaanza kushamiri, kwasababu sio uhalifu hata policcm hawawezi kuyafungulia majalada. Hawa ndo viongozi wetu wa vyombo vya usalama. Mie kwanza nilitegemea ile Movie aliyocheza ya Dr Ulimboka ingeshamuondoa siku mingi kazini, manake aliudanganya umma wa watanzania mchana kweupeeee, lakini biashara ya kulindana ya magamba imeendelea kumkingia kifua aendelee kula kodi zetu bila kuzifanyia kazi. Ipo siku mtazitapika hizi kodi zetu bila kupata kichefuchefu.

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Suleimani Kova, amedai kuwa kutekwa na kuumizwa vibaya kwa Mwandishi nguli na Mhariri wa New Habari,Absalom Kibanda, si tukio la kihalifu. Kamanda Kova amedai kuwa tukio hilo limetokana na chuki na kulipiziana visasi.

Hii ni kwasababu waliomteka na kumshambulia Kibanda hawakuchukua kitu chochote toka kwake. Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari kutoa taarifa za uchunguzi wa awali wa jeshi la polisi juu ya tukiohilo lililotokea jana,

Kwahiyo kutekwa na kushambuliwa si uhalifu? Nani anaweza kumwamini Kova aliyewahi 'kuwasha' sinema ya Dr.Ulimboka na anayeshindwa kuizima hadi sasa?

Nilisema jana tusubiri "komedi" za afande Kova... hivi uharifu ni nini???
Tutafika?
Si bora anyamaze kudhalilisha taasisi anayoiongoza?

Hivi hawa Police wanadhani Magamba watatawala milele? pambafu muda wenu unaisha sasa

Kova ujue muda wa Magamba kuongoza unaisha sasa kwa hyo jiandae pa kwenda.

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Suleimani Kova, amedai kuwa kutekwa na kuumizwa vibaya kwa Mwandishi nguli na Mhariri wa New Habari,Absalom Kibanda, si tukio la kihalifu. Kamanda Kova amedai kuwa tukio hilo limetokana na chuki na kulipiziana visasi.

Hii ni kwasababu waliomteka na kumshambulia Kibanda hawakuchukua kitu chochote toka kwake. Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari kutoa taarifa za uchunguzi wa awali wa jeshi la polisi juu ya tukiohilo lililotokea jana,

Kwahiyo kutekwa na kushambuliwa si uhalifu? Nani anaweza kumwamini Kova aliyewahi 'kuwasha' sinema ya Dr.Ulimboka na anayeshindwa kuizima hadi sasa?

kwenye Bibilia tulifindishwa kuwa Solomon alikuwa ni mja mwenye Busara sana. Kauli hizi za Suleiman Kova (kama kweli kilicho kaririwa ni sahihi)..sio tu zina aibisha Jina la Solomon..lakini pia zina aibisha jeshi letu tukufu la Polisi. How can can Afande Kova jump into conclusion kama tukio lile sio la kihalifu ila ni tukio la kulipiza kisasi. Sasa cha kujiuliza kulipiza kisasi sio uhalifu. C'mmmon Suleiman Kova!

Huyo ni kova,anaweza kuthibiti maandamano ya CDM tu, hivi INTELLIGENCY YA POLISI IPO HAI??? au ni political inteligency wakati fulani tu??Tunaomba mzee IGP atueleze utekaji,mauaji yanayotokea kila kukicha intelijensia yako IGP mwema ipo likizo hadi mwaka gani??? kichefu chefuuuuu!!

Back
Top Bottom