Recent content by maabara

  1. maabara

    JamiiForums Tanzania Antonio Nugaz, Captain Gadner G.Habash na Phillip Mwihava, nani mkali wa matangazo?

    Hizi sifa marehemu hajawahi kuzisikia.
  2. maabara

    JamiiForums Tanzania Bahati Bukuku ni mama, Rose Mhando Ni kabinti kwenye uandishi

    Tabu zangu ft Anastancia Nipe uvumilivu Nyimbo nzuri sana
  3. maabara

    JamiiForums Tanzania Hivi kutakuja kutokea wasanii kama Angela Chibalonza na Fanuel Sedekia?

    Angela Chibalonza dunia ingekuwa yangu ningempa nusu yake. Nampenda Sana. Dr.Sarah K yeye naipenda album yake ya kwanza. Rose Muhando napenda nyimbo zake za kuabudu na kuhuzunisha tu.
  4. maabara

    JamiiForums Tanzania TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Mtangazaji Gardiner G Habashi amefariki Leo hospitali ya Muhimbili.
  5. maabara

    JamiiForums Tanzania Kendrick Lamar (Kidoti) Alijichanganya Kumdiss J Cole. 7 minutes Drill Bodied Kendrick

    Ass l Ass like that
  6. maabara

    JamiiForums Tanzania Ramadhani ile haipo

    MZEE KAKIMBIA UZI
  7. maabara

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wasiyofahamu, Jay Melody na Z Anto ni ndugu wa damu kabisa

    Hao ni ukoo tu. Z-Anto jirani yangu na ndugu zake nawajua.
  8. maabara

    JamiiForums Tanzania Kalamu Yangu, Rais Ali Hassan Mwinyi na Kitabu: "Mzee Rukhsa" Safari ya Maisha Yangu"

    Kama wafanyakazi wa serikali wakistaafu miaka mitano mingi sana. Wanstafu na magonjwa sijui.
  9. maabara

    JamiiForums Tanzania Dada wa Wema Sepetu akutwa na hatia ya utakatishaji fedha Marekani

    Nilivyoona Kuna Mnaijeria,basi
  10. maabara

    JamiiForums Tanzania Kalamu Yangu, Rais Ali Hassan Mwinyi na Kitabu: "Mzee Rukhsa" Safari ya Maisha Yangu"

    Um Umefanana na Zembwela
  11. maabara

    JamiiForums Tanzania Hivi UKIMWI upo kweli kwa wasanii wetu wa Bongo Movie na Bongo Flavor?

    Maisha Yao kama Pataya Bankok
  12. maabara

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    KWANINI WAZANZIBAR WANATUONGOZA KWENYE NCHI YETU LAKINI WAO WANAJUINGOZA WENYEWE? KWANINI MARA NYINGI WANEKUWA WAKITULETEA DHARAU WAKATI HUKU TUNAISHI NAI KIROHO SAFI? KITU GANI KIMEJIFICHA HAPO?
  13. maabara

    JamiiForums Tanzania P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

    Ex wa 50 cent ambaye alizaa naye,Diddy alikuwa Sex Worker wa Diddy,alikuwa analipwa per month. 50 Cent anataka mwanaye kulipwa maisha yote na Diddy
Back
Top Bottom