Recent content by m_warrior

  1. M

    Uchambuzi: Kanuni Mpya za Maudhui ya Mtandaoni 2020, Marufuku ya Maudhui yaongezeka

    Swali langu ni moja. Ivi kama mtu anaweka maudhui tu ya elimu ya science kwa mfano udaktari kwenye page ya Instagram, yeye hii page haimuingizii ata shillingi moja, anatakiwa kulipia hizo leseni? Na kama analipa, inakuaje mtu analipa leseni na wakati hii kitu haikuingizii faida yoyote ya kifedha?
  2. M

    Mazoea ya kujisomea vitabu

    Toa direction mkuu waTanzania wapajue. WaTanzania tuna nature ya kukosoa na sio kutoa solution. Nipe direction nikanunue
  3. M

    Mazoea ya kujisomea vitabu

    Po Posta maeneo gani exactly??
  4. M

    Mazoea ya kujisomea vitabu

    Kaa tayari vinakuja karibuni tu
  5. M

    Mazoea ya kujisomea vitabu

    Nipe namba yako mkuu nikucheki. Nipo dar es salaam
  6. M

    Mazoea ya kujisomea vitabu

    Vitabu naviuza kwa bei karibu na bure
  7. M

    Mwanafunzi NIT, Julius Warioba ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kuchapisha maudhui mtandaoni bila leseni

    Kwaiyo mkuu kama mtu anaka page chake instagram au facebook anapost post madini au maziwa na mito ya Tanzania lazima afate kibali tcra na alipe kodi??
  8. M

    Mwanafunzi NIT, Julius Warioba ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kuchapisha maudhui mtandaoni bila leseni

    Tungejua alichokipost jamaa ili watu wengine wajifunze kitu gani hakiruusiwi kufanya. Kwasababu watu wengi wanamiliki page katika mitandao mbali mbali ambao wanapost mambo kuhusu Tanzania kama vile misitu, milima, habari za maendeleo, n.k. Je maudhui yapi hayatakiwi?? Na huyo mwanafunzi alipost...
  9. M

    ONTARIO'S JF Exclusive Interview: Ujasiriamali na harakati za maisha kwa ujumla

    amekutapeli bro?? au toa ufafanuzi zaid tusije kulizwa wengi
  10. M

    ONTARIO'S JF Exclusive Interview: Ujasiriamali na harakati za maisha kwa ujumla

    its december 2018 tunakaribia kuingia 2019 na hii interview still ni relevant...kwakweli interview of the century itakuj kutumika na vizazi vinavyokuja.. Congrats kwa kutoa mada u did a great job brother. Interview ina lessons nyingi sana adi proof kuwa haters wa maendeleo binafsi ya mtu wapo...
  11. M

    Jinsi ya kutengeneza pesa kwa mara ya kwanza online: Here is everything you need to know

    bro umeongea point!!. Mtu kama anasema anaingiaza thousands dollars na amefanikiwa kupitia platform flani afu still kutoa ujuzi kuhusu hiyo platform anataka kuingiza hela ndefu nakuwa simuelewagi. Hawa hapa bongo wapo wengi. Hizi introduction za hizi platform tunazijua kupitiabtu google kama...
  12. M

    Wakati Acacia ikifungasha virago, tukumbushane mambo ya kijinga tuliyokuwa tunafanya mgodini

    Duuh ni noma sana mkuu...nataka informations za kutembelea migodi ya Tanzanite mkuu
  13. M

    Wakati Acacia ikifungasha virago, tukumbushane mambo ya kijinga tuliyokuwa tunafanya mgodini

    Master nilikua natafuta information za kuingia mgodi wa tanzanite yani kama inawezekana mtu kufanya visit na kujifunza vitu mbalimbali vya mgodini
Back
Top Bottom