Recent content by M4CODES

  1. M

    Jina la mpenzi wangu wa zamani-ushuhuda!

    Who knows little punishes much! who knows much punishes little! Acha upunguani wewe kijana! wewe ndio nature ya walio elimika hapo bongo! Bila shaka wewe ndio wale wanaofaulu mitihani kwa kusoma past papers(Q&A)!
  2. M

    Kipandauso (migraine): Chanzo, Dalili, Tiba na jinsi ya kujikinga na tatizo hili

    Not bad kugegedana just for relaxation! sio mnafanya ile kama vile mnaonyeshana uwezo! fanyeni kama sehemu ya tiba! utapona!
  3. M

    Kipandauso (migraine): Chanzo, Dalili, Tiba na jinsi ya kujikinga na tatizo hili

    With this description you stated, hio sio kipanda uso! hizo ni brain stress road-map! re-arrange and re-manage your brain concern activities! pumzika sana muda mrefu, fanya kazi laini laini sio za kufikirisha! km una mpenzi wa kiume, better spend most of your time with him talking about null...
  4. M

    Nabadilishaje profile name yangu??

    Hapo ni case ya "verified user", wasiliana na uongozi wa JF, ni ishu ndogo sana hiyo!
  5. M

    Nabadilishaje profile name yangu??

    Hakuna jinsi unaweza fanya wewe(soma sheria za jf), wasiliana na mods kupitia ile email yako then suggest jina watakubadilishia pasipo shaka! unataka uitwe na ni vile? just curious!
  6. M

    Jina la mpenzi wangu wa zamani-ushuhuda!

    Na iwe hivyo! Amen!
  7. M

    TANZIA: Aliekuwa mgombea ubunge jimbo la Ngorongoro kwa kupitia CHADEMA Afariki Dunia

    Sasa mkuu, kama ilivyo tofauti ya jf na mitandao mingine humu huwa wanachama wanatiririka mwanzo mwisho kuhusu issue yeyote! plz andaa andiko kwa ajili ya huyu kamanda ili angalu kupunguza upotoshaji!
  8. M

    Jina la mpenzi wangu wa zamani-ushuhuda!

    no! hakuna hata chembe ya ushirikina mkuu!
  9. M

    Jina la mpenzi wangu wa zamani-ushuhuda!

    Best are for few, Worst are for mass! Kila la kheri mkuu!
  10. M

    Jina la mpenzi wangu wa zamani-ushuhuda!

    mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  11. M

    Jina la mpenzi wangu wa zamani-ushuhuda!

    Habari! (wavivu wa kusoma na kutafakari msihangaike kusoma hapa, kuna nyuzi zingine mkazi-comment hizo) naomba ku-share nanyi huu ushuhuda labda unaweza kumjenga mmoja kati ya 143,000 registered members! Nilimaliza chuo miaka kadhaa iliyopita. Kuna demu mmoja mzuri sana, kiukweli ni mrembo wa...
  12. M

    Hali ya hatari itangazwe kuhusiana na mapenzi!

    atajibu ndio au hapana au atakaa kimya, hizi ndio possible answers!
  13. M

    Hali ya hatari itangazwe kuhusiana na mapenzi!

    huenda, mkuu THECHANCE njoo jibu tuhuma hii hapa, otherwise multiple id!
  14. M

    Hali ya hatari itangazwe kuhusiana na mapenzi!

    Wasalaam, Naona hali ya mapenzi si sawa kabisa, kuna maumivu makubwa makubwa sana kuliko inavyoripotiwa humu jf! kwa kifupi hali ni mbaya sana, hk ndicho unachowezasema kwa kifupi kuhusiana na mapenzi! kuna wengine wanagugumia kimya kimya hawana la kufanya, kuna wengine hadi kwa waganga wa...
Back
Top Bottom