Recent content by M4C ARUSHA

  1. M

    Cyril Chami, mbunge wa Moshi vijijini

    WAANDISHI MAALUMU MOSHI,na Dodoma MZIMU wa mgawanyo wa fedha za maendeleo ya jimbo umeendelea kumtafuna mbunge wa Moshi vijijini Cyril Chami huku akihaha kuitisha vikao na waandishi wa habari ili kukanusha na kutokomea kusikojulikana.   Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka katika...
  2. M

    Nyumba inauzwa...

    Nyumba hii inauzwa ipo vingunguti karibu na sheli jijini dar es salaam bei ni maelewano kwa mawasiliano zaidi wasiliana katika namba 076437001,au 0718 370001
  3. M

    Mganga,mganga,mganga.......... ...

    Mganga wa jadi toka tanga ,yupo jijini dar es salaam anatibu magonjwa mbali mbali kwa ktumia dawa za asili yaani miti shamba hususani mizizi kwa wanawake wenye matatizo ya uzazi pamoja na wanaume wenye maradhi kama hayo sambamba na presha kisukari,na maumivu ya mgongo wasiliana naye kwa namba...
  4. M

  5. M

    Mganga,mganga,mganga...

  6. M

    Panone adai kukingiwa kifua na kigogo tra......

    Ponone and company limited amejibu tuhuma za kukwepa kulipa kodi sambamba na kushusha mishahara ya wafanyakazi pamoja na kuwalipa baadhi ya wafanyakazi bila kuwepo kuwepo kwenye pay role panoneamejibu shutuma hizo akidai kuwa ni wivu wa kibiashara a kwa taarifa zaidi ameshamaliana na mchaga...
  7. M

    Majambazi yawatoa lunch polisi rombo

    Aaah rombo kuanzia rongai tarakea usseri mashati mkuu mamsera na himo ni aibu tupu na huyo occid yaani majebere tena anajenga bonge la nyumba kwao bariadi kama vile white house je ni hii kazi ya polisi ambyo wana miezi mitatu hawajalipwa? Huko rombo ukimpeleka mtuhumiwa polisi ni mtaji wa occid...
  8. M

    Bima ya afya Moshi kama kibati.....

    Wateja wa shirika la bima ya afya mkoa wa kilimanjaro wamejikuta wakiwa katika wakati mgumu kutokana na shirika hilo kuwa kama kibanda cha bahati nasibu badala ya kuwahudumia wateja wake kama matakwa ya kazi yanavyoelekeza. Wanachama wa shirika hilo wamekuwa wakitozwa kiwango cha sh 15000...
  9. M

    Bima ya afya moshi kama kibati.....

    Wateja wa shirika la bima ya afya mkoa wa kilimanjaro wamejikuta wakiwa katika wakati mgumu kutokana na shirika hilo kuwa kama kibanda cha bahati nasibu badala ya kuwahudumia wateja wake kama matakwa ya kazi yanavyoelekeza. Wanachama wa shirika hilo wamekuwa wakitozwa kiwango cha sh 15000 hadi...
  10. M

    Wafanyakazi KNCU kugoma......

    BUNDI ALIYEKUWA AKINYEMELEA KWA KASI CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA MKOANI KILIMANJARO kncu SASA AMECHUKUA SURA MPYA BAADA YA WAAFANYAKZI KUTISHIA KUGOMA KWA MADAI YA KUINGILIWA KATIKA UTENDAJI KAZI WAO NA MWENYEKITI WA BODI MERNARD SWAI TAARIFA ZILIZOPO NI KUWA KILA KUKICHA HALI INAZIDI KUWA...
  11. M

    Wafanyakazi KNCU kugoma...

    Bundi aliyekuwa akinyemelea kwa kasi chama kikuu cha ushirika mkoani kilimanjaro (KNCU) sasa amechukua sura mpya baada ya waafanyakzi kutishia kugoma kwa madai ya kuingiliwa katika utendaji kazi wao na mwenyekiti wa bodi Mernard Swai. taarifa zilizopo ni kuwa kila kukicha hali inazidi kuwa...
  12. M

    Panone hali ni mbaya.....

    HATIMAYE wafanyakazi wa kampuni ya kusafirisha na kuuza mafuta ya jumla na reja reja Panone and company limited wamejikuta wakiumaliza vibaya mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka mpya 2013 wakiwa katika hali mbaya ya kiuchumi huku mmiliki wa kampuni hiyo akijenga maghorofa mithili ya uyoga jicho la...
  13. M

  14. M

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    anatekeleza ilani ya ccm 2010 -2015 tumejaribu tumeweza na tunasonga mbele!mbona wanafunzi kufaulu darasa la saba kutojua kusoma wala kuandika ni jambo la kawaida hebu pata picha huyo ni bosi wa walimu
  15. M

    Madiwani wa Chadema watwangana Moshi

    akipigana mama na baba yako huku huweki.akipigwa dada yako na mumewe huku unakimbia huweki,ukpigana wewe katu huweki'mashoga wakipigana mchana wakigombania mwanaume huweki,sofia simba na banj huweki tena ya waziwazi na usalama upo na kamera acha upuuzi we gamba!
Back
Top Bottom