Jamani mm nilijaza Kila kitu nikaatachi viambatanisho vinavyotakiwa lkn iliishia kusoma 57% nikatuma hivo hivo lkn kwenye preview CV haikubali maana sijakamilisha 70+% ila email walinitumia kuwa maombi yamepokelewa
Mkuu pm yangu inashida sioni text yoyote inaonekana empty kama hutojali naomba unicheck 0767320155 nahitaji msaada wako Tafadhali kwenye mambo kadhaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka umeongea ukweli mtupu usomi wa bongo ni pasua kichwa unakuta mtu katumia miaka 17 anaitafuta elimu then baada ya kumaliza anarudi nyumbani kugombania ugali na wadogo zake.
Nakuomba pm tujadil mambo muhimu tuachane na hawa wasomi uchwara
Sent using Jamii Forums mobile app
Finding Your Path
This CASHFLOW Quadrant book is important because it is about
finding your path in life. As you know, most people are programmed
early in life to “Go to school and get a job.” *School is about finding a*
*job in the E or S quadrant. It is not about finding your life’s path*...
Andaa mtaji wako kadri uwezavyo zama mtwara msimu ni mwez wa tisa mpaka wa kwanza mwanzoni. Utanunua kwa wa kulima kwa bei kati ya 1500-2200 per kg na utauza ghalani kwa njia ya mnada kati ya 3600-4000 kulingana na soko likoje.
Hili ni kwa zao la korosho.
Maeneo zinako patikana kwa wingi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.