Recent content by m2mixh

  1. m2mixh

    JamiiForums Tanzania Wakanisa Mtaficha Wapi Hizi Aibu Duniani

    Sasa huyo wa USA ni mtume au nabii?Au amejitambilisha kuiwakilisha dini gani?
  2. m2mixh

    JamiiForums Tanzania Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

    Kwa hiyo sasa allah ndo kajipanga sio?Alikuwa hakujipanga?Au hakujua kama vitaharibiwa,baada ya kuharibiwa ndo kashtuka,kwo kajipanga sasa,sio?Huoni unadhihirisha udhaifu mkubwa wa allah?Kwa sifa hizi ni wazi huyo sio MUNGU.Hakika nakuambia
  3. m2mixh

    JamiiForums Tanzania Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

    Majibu hayo ndiyo yamefanya waislam wampe uprofesa 🤣🤣
  4. m2mixh

    JamiiForums Tanzania Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

    Maswali kama haya ndiyo yanapima ukweli wa Quran.Hakuna muislam atakayekujibu hapa.Wataleta hoja tofauti tofauti ili wakuchanganye uhame kwenye msingi wa swali lako.Na hii ndiyo iliyofanya waislamu wampe uprofesa mazinge.Mzee wa kuhamisha magoli
  5. m2mixh

    JamiiForums Tanzania Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

    Kwa hiyo alipoleta torati alikuwa hakujipanga,ila sasa ndo kajipanga sio?
  6. m2mixh

    JamiiForums Tanzania Kama hakuna katika mafundisho haya yanatokana na Torati au Manabii, yametoka wapi?

    Anayepotosha ni yule aliyekaa na Yesu,au yule aliyekuja nyumba tena wa taifa lingine kabisa kusema mwenye historia yake kaipotosha!Muwe mnafikiri kimantiki.Ukweli ni huu;mungu wa Quran ni tofauti na MUNGU wa biblia.Nyie hamlitaki hilo Kwa kuwa mkikubaliana na hilo basi uislam umekufa.Yesu ni...
  7. m2mixh

    JamiiForums Tanzania Wasifu (CV) ya Patrobas Katambi

    Mtu hadi kaingia ndani ndani kabisa ya chama(mwenyekiti bavicha),Yaani kaaminika na chama cha upinzani kama chadema,halafu unasema ni kilaza,kilaza aliwezaje kupita hadi kuchukua nafasi ya juu ndani ya chadema!
  8. m2mixh

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Venezuela latoa tamko. Lasema kitendo cha Marekani ni kinaashiria "uoga" na Venezuela itaendelea kulinda watu wake

    Uko Dunia gan mzee!Hadi tunavyoongea jeshi la USA Bado lipo ndani ya Venezuela.Trump kasema halitaondoka,linafuatilia kuona utawala mpya kama utaingilia maslahi yake
  9. m2mixh

    JamiiForums Tanzania Mtume Mohamed na Upendeleo wa Allah

    Ni nongwa.Biblia inaonesha kabisa MUNGU hakupendezwa na hilo.Kwa kufanya hivyo alimuasi MUNGU
  10. m2mixh

    JamiiForums Tanzania Quran ya Allah ni kitabu kisichokuwa na shaka

    Soma ya ya 50
  11. m2mixh

    JamiiForums Tanzania Tusiwe wepesi wa kusahau, utekaji aliuanzisha Magufuli kwa kumteka Ben SaaNane. He is the one to blame na Mungu amhukumu kwa hilo

    Kwa hiyo ni halali kupotea kwa Ben Saanane kwa kuwa alipotezwa kimya kimya sio? Kwo unashauri na huyu awe anapoteza watu kimya kimya sio?
  12. m2mixh

    JamiiForums Tanzania Tusiwe wepesi wa kusahau, utekaji aliuanzisha Magufuli kwa kumteka Ben SaaNane. He is the one to blame na Mungu amhukumu kwa hilo

    Hv unaweza kuhalalisha haramu?Wadanganye watoto waliozaliwa 2020
  13. m2mixh

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Robert Hariel Mtibeli kusema kwamba malezi mabovu ndiyo chanzo cha matatizo yetu na siyo CCM ni tusi kwa Watanzania

    Mtibeli yuko sawa.Ila ww unaleta siasa.Nikupe mfano mdogo sana.Ulishawahi kujenga nyumba?Kama bado,ukitaka kujenga mtafute fundi akupigie mahesabu,then mkabidhi Kila kitu,halafu usimsimanie.Uone kama hajafungua duka la cement huku nyumba yako ikibaki na ratio ya chini kiasi kwamba akipanda mjusi...
Back
Top Bottom