Hapo kwenye weighbridge shift incharge nadhani utakuwa umekosea kigezo cha umri
Kwa uzoefu wangu mara nyingi huwa ni kuanzia umri wa miaka 35.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu natumai wote mu wazima wa afya na weekend iko poa kwenu.
Nia ya kuandika huu uzi kuomba kujuzwa iwapo mechi kati ya Tanzania na Kenya itarushwa kupitia chaneli gani maana ningependa kuifatilia na nipo mbali kidogo na mji.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.

Wakuu naomba mnielekeze chimbo ambalo naweza kupata karatasi aina zifuatazo :-
1.News print.
2.News print za rangi.
3.Non Carbon paper (NCR).
Natanguliza shukurani.
Ni kweli mkuu ndo maana hata hapo mwanzo nilisema "nimejiona fala".
Hiyo ilikuwa 2014, naamini tukukutana kwa sasa twaweza kubadilishana mawili matatu ya kimaendeleo.
Ubarikiwe sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.