Recent content by M232017

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kheri James achaguliwa Mwenyekiti mpya wa UVCCM Taifa, Tabia Mwita awa Makamu

    Hii hatari sana kuwekana Ndugu Ndugu
  2. M

    JamiiForums Tanzania ACACIA waweka ushahidi hadharani kwa kampuni yao kusajiliwa nchini

    K Ndio chama cha mapinduzi, kwani aliyeturoga haweza kuwa mwingine yupi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

    Hili nalo lilikua picha lilioongozwa na sterling mtoto wa mjini kweli. Nalikumbuka hili bongo movie lililopata tuzo bora wallah. Hii ndio Tanzania jamani acheni tu!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Meya wa Manispaa ya Ubungo, Ndg. Boniface Jacob akamatwa na Polisi kwa mahojiano

    Mkuu wa wilaya anataka waombe kibali kutoka kwa manispaa cha kwenda kufanya ziara kwenye miradi hii ndio tanzania mpya
  5. M

    JamiiForums Tanzania ACACIA waweka ushahidi hadharani kwa kampuni yao kusajiliwa nchini

    Huyo nae anaeleta ushahidi hajitambui naona, watu washafanyia kazi na kugundua hawakufuata taratibu yeye anatuletea habari zake za kibwege hapa. Kwani ofisi za editing hapo bilicanas zimefungwa?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

    Kabisa kabisa hafuati hilo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Msimamo wangu wa kutoteua upinzani bado upo palepale

    Hakuna mwanaharakati wala mzalendo sasa hivi, ni very high pretending ambayo sijawahi kuiona wallah vile. Maana uwa nawaza deep kweli nakuona kabisa bado tunapigwa kweli kweli!! Haya Mungu mwema!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wavamia hotel ya Blue Pearl na kumkamata Mkurugenzi wa (THRDC) Onesmo Olengurumwa

    Ngushi mi pia nashangaa kweli kweli, nguvu hiyo ingepelekwa kibiti mbona ingekuwa poa sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: Walitaka kumhonga Rais Magufuli Sh. Bilioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga

    Bora umwambie wewe mi nimeshindwa hata cha kusema maana si kwa uongo huu khaaa!!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: Walitaka kumhonga Rais Magufuli Sh. Bilioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga

    Hilo ndilo la msingi sio kutuaminisha kuwa ilitaka kutokewa rushwa alafu haonekani mhusika.
  11. M

    JamiiForums Tanzania ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    :D:D:D:D:D:D:D ebu nicheke kwanza
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yusuph Mehbub Manji amejiuzulu rasmi Yanga

    Kabisa simpendiiii hadi atagundua tu!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    Protocol Myao wa Kaskazini
  14. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    Mweleze ajue, maana hajui kama kuchaguliwa na wanachi ndio haswa kuliko hata hao wateule wa Rais
Back
Top Bottom