Recent content by M2021

  1. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza printer aina ya HP 1515

    Nauza printer ya HP 1515 BEI TSH 40,000 IPO VIZURI Adapter yake haipo 0658 106 630
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Huo mkutano wa wasabato ulifanyika wapi? Kanisani au nje ya kanisa? Maswali uliyoulizwa na kuyajibu ni yapi ndugu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Hata wanaoabudu ng'ombe Mungu ameruhusu wawepo?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Kila mkristo ana wajibu wa kujua biblia,kila mkristo ana wajibu wa kufahamu maandiko vinginevyo unaweza unadanganywa
  5. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Safety boot ya mtumba inauzwa

    NAUZA SAFETY BOOT ZA MTUMBA sh 22,000 Size 41 Mahali:yombo-DSM Zipo vizuri, Ukihitaji picha au nirekodi video uone njoo WhatsApp Ukihitaji naweza kukuletea mahali ulipo, ndani ya Dar Simu no 0658 106 630
  6. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Safety boot on sale

    Wengine wanatokea mitoko hizo,hao hao mafundi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nataka nirudi kusali naogopa kutegwa

    Kazi kweli kweli
  8. M

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Desktop computer

    Nauza destop Aina ya dell Bei 170,000/= Desktop Aina ya dell Ram 2 Hard disk 320GB CPU DUO 1.6Ghz Hali: Imetumika Mahali: Mkoa wa Dar es salaam Simu no 0658 106 630 Karibu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hispania: FC Barcelona yazuiwa kufanya usajili

    Anyway endelea kujua hivyohivyo wao wanaumia kwa kuzuiwa kuwasajiri
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hispania: FC Barcelona yazuiwa kufanya usajili

    Mchezaji akienda free haina maana hapewi pesa kabisa abalipwa ila haitangazwi
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unajitoa kwa hali na mali ili asichepuke, umridhishe au usiachwe unajidanganya sana

    Mungu akusamehe
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

    Aya gani au hadithi gani inayoelezea hivyo?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

    UUjira huo ambao wanawake watapewa nii upi? Maana haujatajwa katika hiyo aya. Wanaume mabikra sabini, Wanawake je watapewa Nini? Naomba aya Kama ipo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

    Umeulizwa swali kwanini wanawake hawajapewa ahadi umesema kwakuwa Wana Wana dhambi(umezitaja) je wanaume hawana dhambi? Hakuna wanawake wacha Mungu waislamu? Wao watape a nini peponi?
Back
Top Bottom