Recent content by M07

  1. M

    Diamond kaleta sifa Tanzania

    Nenda katafakari tena....all lyrics were ment for the chick they wa singing about...wanamuimbia msichana c davido anamuimbia diamond
  2. M

    Kura kwa Diamond wa Tanzania

    Yan am gonna vote like never b4
  3. M

    cheki hapa video mpya ya diamond platinum

    Diamond anapeleka music industry level nyingi...hii video ni bora ajabu na sijachoka kuiangali though nimeangalia zaidi ya mara tano,30 thou USD kwa this video naamini kabisa...hiyo wololoo itaimbwa sana mtaani....namuombea MUNGU afanye vizur zaidi...no 1 z real a no 1 song....classic
  4. M

    Udom hawapendi kuliona tangazo hili

    Mimi mwenyewe ni graduate wa udsm tena udbs lakin sijaona cha msingi saana kwa mdau aliyeweka hiyoo thread labda angeipost kwa namna ya kuuonyesha mfano umma ni kwa jinsi gani chuo kikuu dsm kinawasaidia wanafunzi wake katika kuingia katika soko la ajira za kuajiriwa na kujiajiri kwa kuwa na...
  5. M

    Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

    Ni mambo yasiyo na msingi wowote kwa sasa,nchi imekosa maadili na kila kitu kimejaa siasa zisizo na msingi.na ni swala rahisi tu,mara nyingi baba wa nyumba alivyo ndiyo atatoa hata taswira ya familia yake ilivyo.nchi haina usimamizi madhubuti kuanzia ngazi ya juu kabisa na sasa sumu hiyo ya...
  6. M

    Shule ya Sekondari Ya Edmund Rice Sinon ya Mkoani Arusha Inaungua Moto

    Hii ni shule ya mabruda wa kikatoliki ila haichagui dini katika kutoa elimu,tena imekuwa msaada kwa jamii kubwa ya watu wa arusha na hata nje ya mkoa. Ila imekumbwa na matukio mbalimbali yenye utata kwa siku za karibuni,nadhani ni wakati wa serikali na uongozi wa shule hiyo kuchukua hatua za...
  7. M

    Afisa uhamiaji Mwanza anusurika kuuawa kwa risasi na polisi

    Tanazania kila kitu bahati mbaya na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa.barlow naye kwaheri
Back
Top Bottom