kwa hili ndugai hoja anayo. ndugu zetu wa zanzibar wanaona kuwa wao wako sahihi kwa walisemalo wasikilizwe na wabembelezwe mi nimeipenda kauli ya dugai kama hawautaki muungano hapo ndio mahali pake ikishindikana tugawane mbao .lugha kali ila ndio ukweli wenyewe malalamiko ya tanganyika kuikoloni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.