Hello all,
Natafuta kiwanja Dar es Salaam. Malengo yangu ni kujenga nyumba ya vyumba sita vya kukaribisha wageni wa mda mfupi (ex : Airbnb…)
Wapi Dar es Salaam naweza pata kiwanja kizuri kwa bei nafuu for my project?
Natanguliza shukran wakuu.
Habari zenu ndugu zangu. NATAFUTA FUNDI !
Nimepata bahati ya kusafiri Asia na nikakutana na ubunifu huu (picha hapo chini). Wenzetu bajaji zao sio za kusafirishia abiria tu, ila wana zi design kitofauti na kufanya nazo biashara zingine.
Mtu anachukua bajaji ya kawaida, anaondoa siti za nyuma...
Habari zenu ndungu zangu,
Ninauwezo wa kuweka akiba ya Laki 4 kila mwezi.
Nina kiwanja changu cha m 27 kwa 20 pale Mbezi ya Kimara.
Maswali yangu ni yafuatayo :
1) Je, naweza kujenga nyumba ya vyumba 4 hapo?
2) Nianzie wapi katika project ya ujenzi wangu? Ninunue kwanza matofali?
Shukran kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.