Recent content by M O N S T E R

  1. M O N S T E R

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za UDSM from 1970s to 1990s: Poisoned Letters na Mzee Punch

    Good old days🔥🔥. Taasisi yetu(Mr Punch) adhimu.
  2. M O N S T E R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo

    Kuamini/kutokuamini vs facts.
  3. M O N S T E R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo

    Majority ya wasomi(random sampling) it's obvious inatoka kwenye makabila ambayo watu wake wako ngazi za juu kwenye nafasi za taaluma, hiyo si Tanzania tu bali popote duniani utakapoenda uhalisia huo utaubaini. Haiwezekani kabila lenye qualified doctors 1,000 liwe sawa na kabila lenye qualified...
  4. M O N S T E R

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Nasubiri nione WATAMSHITAKI KWA “KOSA” GANI?

    Hapo ingekuwa ameandika SAMIA MITANO TENA au ASANTE MAMA KWA UONGOZI WAKO ULIOTUKUKA wala asingesumbuliwa.
  5. M O N S T E R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo

    Uongo, kuna makabila yana idadi ya wasomi zaidi ya wengine hivyo kushika nafasi za juu zisizo za uteuzi haikwepeki, let's say hauwezi kulazimisha mtoto wako awe jaji ilhali alipata zero form 4. Linapokuja suala la kuteuana na kubebana linawezekana tu kwenye nafasi zisizohitaji ubobezi kwenye...
  6. M O N S T E R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Bara: Kwanini maeneo yenye Wakristo wengi yanaonekana kuendelea, huku yenye Waislamu wengi yakikabiliwa na umaskini?

    Dah.....! Umeandika kwa emotions. Has it really touched you this much? These are just random comments, don't panic.
  7. M O N S T E R

    JamiiForums Tanzania Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

    Wapo wengi sana.
  8. M O N S T E R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wasione ni aibu au fedheha kukutana na kuzungumza na Rais Samia ili kumaliza kesi ya Lissu kwa njia ya mazungumzo

    Kwani mahakama wote mnakubali kwamba si muhimili unaojitegemea na ulio huru pia usioingiliwa wa mihili mingine? Inakuwaje kesi iko mahakamani lakini nguvu za kuamua afungwe au asifungwe ziko kwa Samia kwamba CHADEMA wakikubali kuingia 'utumwani' ndipo Samia ataamua kuwa Lissu aachiwe huru.
  9. M O N S T E R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abood ahaidi Tsh. Mil. 15,000,000/- zahanati kata Magadu

    Milioni 15,000,000/-? au ni 15,000,000/-(milioni 15)?
  10. M O N S T E R

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ameanza kuvaa chupi aina ya bikini, nilimuonya kabla ila nashangaa amerudia tena

    Boyfriend wake ndiyo anamlazimisha, hapo hata ukatambike uchi hawezi kukubalia unachomwambia. It's obvious anampenda, anamtii na hataki kabisa kumuudhi mpenzi wake.
  11. M O N S T E R

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya abiria kupanda mishikaki, inasababishwa na hali ya uchumi, au ndio yale mambo ya kutokulinda mgongo?

    Kwani huyo muendesha bodaboda mgongo wake anaulindaje?
  12. M O N S T E R

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Hilda Newton Kumchafua Waziri Mkuu Hakikubaliki Popote Pale Duniani na Hata Mbinguni. Siku Yaja Atakapolipa Gharama yake Kwa Machozi.

    Wewe kwako kila anayebaini ujahili na ufedhuli wa huyo mnuka punani mvaa lundo la shanga kiunoni unahisi ni CHADEMA, wengine sisi tunapambania haki tu japo anayekuwa kweny right track tunamuunga mkono.
Back
Top Bottom