Recent content by M-Manoti

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Kuna sms nimekutumia inbox
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sim card tax proposal

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimekuja kuandika hili baada ya Maoni ya mbunge Mmoja kutoa mapendekezo ya kodi ya kizalendo kwenye Simcard. Kuna pendekezo la Simcard Tax nilituma serikalini tarehe 31/12/2020. Nilidadafua vizuri sana kwa kuangalia pembe zote za watu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soko la Quartz crystals

    Mbona hongera kaka
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soko la Quartz crystals

    Habari zenu members Naomba kujua soko la madini aina ya Quartz lilipo kwa nchi yetu hii ya Tanzania na pia bei yake kwa kilo.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekuwa 'addicted' na makalio

    jitahidi usiwe unakaa karibu na madimbwi ya maji machafu kuepuka kuwaona ona chura nakuhakikishia utapona mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa suala la umri Serikalini

    Hili ni jambo lingine linalotakiwa kuangaliwa pia. maana linakinzana na ule usemi kwamba Elimu haina mwisho
  7. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa suala la umri Serikalini

    Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Nafikiri kuna umuhimu mkubwa kwa serikali kuliangalia suala la umri kwa wananchi wake ili kupunguza au kuondoa kabisa sintofahamu na maswali hapo baadae. Nasema hivyo nikiwa na maana gani, yaani kwa mfano kama sasa walivyotangaza kwamba mwanafunzi kudahili...
Back
Top Bottom