Recent content by lyogo

  1. lyogo

    JamiiForums Tanzania Korogwe: Bodaboda wadaiwa kuchoma basi la Saibaba baada ya mwenzao kugongwa

    Na hivi hai boda hawana ekimu yoyote juu ya sheria za usalama barabarani ni tatizo kubwa. Je walujua nani mwenye kosa?
  2. lyogo

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo mamastaminder wa dunia alowasema Gwajima

    Ni kweli kabisa, tatizo kizazi hiki ni cha ukaidi
  3. lyogo

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji magari yanayokwenda nje ya nchi (IT)

    Wapendwa habari zenu? Tafadhali naomba mnisaidie kama kuna mtu anazijua bei au gharama kamili za usafirishaji wa magari mapya (IT) yanayotoka bandari ya Dar es salaam kwenda nchi jirani mfano Lusaka-Zambia, DR Congo, Kigali-Rwanda, Burundi nk. Nitashukuru kama nitapata mchanganuo kamili wa...
  4. lyogo

    JamiiForums Tanzania Ukitizama Ulimwengu kwa jicho kali, Matambiko haya mawili YANAIFUNGA TANGANYIKA/TZ kuinuka

    Lakini ukweli ni kwamba TAIFA likimuacha basi, madhara yake Uspime.
  5. lyogo

    JamiiForums Tanzania Ukitizama Ulimwengu kwa jicho kali, Matambiko haya mawili YANAIFUNGA TANGANYIKA/TZ kuinuka

    Hekima mweleze mwenye nayo mpumbavu atakudharau [emoji125] NAPITA TU
  6. lyogo

    JamiiForums Tanzania Baada ya madereva wenye vyeti fake kutimuliwa Ajali za STK, STJ, SU na DFP zimeshamiri

    Ha haa [emoji615]☡[emoji1281][emoji724]
  7. lyogo

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa ndugu Mwita Waitara Mwikabe

    Humu kuna wajinga hawajui wafanyalo, msiokuwa na point za kuchangia hebu mtupishe nendeni wanakoenda wenzenu
  8. lyogo

    JamiiForums Tanzania Tunaishi ili iweje? Na kwa nini tupo duniani?

    Tunakufa kwa sababu mwisho wa mambo yooote kila chenye pumzi lazima kionje umauti. Hapo mambo yote yanakuwa over!!!
  9. lyogo

    JamiiForums Tanzania Tunaishi ili iweje? Na kwa nini tupo duniani?

    Since 2013 but nilipotea kidogo lwa majukumu ya hapa na pale, au kanuni mpya za humu haziruhusu kuuliza such a question?
  10. lyogo

    JamiiForums Tanzania Tuweni Macho watu wa MUNGU, Hali ni Mbaya

    Yes pia nimeiskiliza video kama vitu ni fake kuna tatizo gani? Mtoto akijipikisha ugali wa mchanga na mchuzi kama ni hukumu utamhukumu kwa uchafu tu and nothing more
  11. lyogo

    JamiiForums Tanzania Tunaishi ili iweje? Na kwa nini tupo duniani?

    Jamani Kiranga ndo nani naomba nimfaham
  12. lyogo

    JamiiForums Tanzania Tuweni Macho watu wa MUNGU, Hali ni Mbaya

    So much better vitu vya kiMungu ukajibu kwa hekima sana unless you dont believe in him. Thanks
  13. lyogo

    JamiiForums Tanzania Tuweni Macho watu wa MUNGU, Hali ni Mbaya

    Ni kweli elimu ni muhimu sana kabisa lakini kumbuka tu hata Suleimani alikuwa na elimu lakini end of all akaomba hekima toka kwa Mungu
  14. lyogo

    JamiiForums Tanzania Tunaishi ili iweje? Na kwa nini tupo duniani?

    Ha haa!! Malengo ya kuwepo kwako duniani anayajua aliyekuleta hapa, pia kwanini unakufa soma kitabu cha mwanzo sura tatu za mwanzoni utapata majibu yako yote mkuu, labda kama una imani nyingine basi hapo itabidi tu utumie kujibu kwa akili zako za kibinadamu ambazo kiukweli siyo ishu kabisaa...
  15. lyogo

    JamiiForums Tanzania Tuweni Macho watu wa MUNGU, Hali ni Mbaya

    Efeso 4:17.... Watu wasiomjua Mungu ambao fikra zao zimetiwa giza
Back
Top Bottom