Hawa ndo mamastaminder wa dunia alowasema Gwajima

Hawa ndo mamastaminder wa dunia alowasema Gwajima

yaani mwisho wa siku hao watakufa wote na hakuna mbabe atakayebakia katika uso wa ardhi..
 
Kuna siku nilikula mjani nikafanya reasoning kuhusu ulimwengu moja kwa moja nikapata majibu kwamba kuna watu wachache wanacontrol mpaka public opinion, culture mpaka kipi ukifahamu kipi usikifahamu. Wanasemaga mwenye siri ndiyo mwenye power kubwa. Kwa hiyo siri nyingi sana za huu ulimwengu huu zinamilikiwa na wachache walio gizani, wakati kwenye mwanga wanatuletea upotofu, magonjwa, ujinga, upumbavu, zinaa, mambo ya kingono n.k Umewahi kukaa ukajiuliza kwanini watu wengi wenye utajiri na nguvu kubwa na hamasa katika jamii wanakuwaga ni watu ruthless na wasio na mitazamo tusiyo nayo sisi wa kawaida?! Kuna watu wapo stejini kila siku wanatuletea vioja vya kila aina, wakati ukweli halisi upo backstage.

WACHACHE WATAELEWA. WENGI WATAONA NI HADITHI.
 
Kabisa mkuu
 
Tafuta hela achana na mambo yakuunga unga kwenye hii dunia.Hizo hoja za hao majamaa zinaletwa na watu kwasababu ni mataycoon kwenye uso wa dunia ya karne hii lakini watapita na maisha yataendelea.Kifo ndicho kinachotawala dunia hizo nyingine ni mbwembwe za binadamu zilizoanzishwa na binadamu.Hakuna jipya.
 
Kwani wao ni Mungu?wao hawafi?
Ishu sio kufa... Ni sawa na kumuambia shetani kuwa wewe tudanganye tu Mwisho utachomwa moto. Atakucheka[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] you why.... Because HE DOESN'T CARE.... HE DOESN'T GIVE A ***.
THE SAME way hawa jamaa hawajalo hizo habari Za kufa sababu washajichagulia sehemu yao ya kwenda na hawaogopi habari Za moto na kifo
 
"We own and run the fed, we are your ERNEMY".
Haya maneno wameyasemema wao ama umeyapachika tu ili kuvuta hadhila na attention ya wasomaji?.
Halafu:, Shida iko wapi Hao jamaa kutawala Dunia?
Mbona ccm na Gwajima wapo tayali kuhonga, kuiba kura na kuua ili watawale ila wengine wakitawala ni Nongwa?.

Gwajima aache USHAMBA wa kipumbavu.
inawezekana ikawa hivyo lkn fikilia hayo maneno halafu linganisha na haya maisha tunayoishi sasa
mfano tazama maneno ya kwenye hii picha

JamiiForums1757294081.jpg

kisha fikilia hizi DAY CARE zilovyojaa hivi sasa mitaani na masingle mama hata wazazi wa kawaida wanyohaha kuwaacha watoto huko wakibadilishwa ubongo wao kwa ELIMU dunia
huku wao wakienda kuchakalika mchana kutwaa kutafuta pesa
ebu tumia muda kutafakali kisha jiulize
mwenyewe hivi ndivyo ilivyo au kuna jambo kitu mtu kundi au kikundi chenye mikakati madhubuti na mipango ya muda Mrefu na endelevu.
wewe ni BINADAMU umepewa uwezo mkubwa sana wa kuchanganua mambo kisha ukapewa nishani ya UONGOZI katika hii dunia na uhuru na vilevile utashi wa maamuzi
mfano 1+1=2 lakini kikatokea kikundi cha watu fulani kinakulazimisha kuwa 1+1=11
Sasa hapo ndio utatumia utashi wako katika kukubaliana nao au kushikilia msimamo wako 1+1=2 kwann sasa uitaabishe Akili yako kuwa 1+1=11
wkt ukweli haupo hivyo
sasa hapo ndipo usimama kikundi cha watu kupigia chapuo msimamo wao ambao wewe binafsi ukitumia utashi wa akili yako unakuja kugundua kuwa hawa jamaa hawana nia njema kwann walazimishe jambo la Uongo wakati ukweli upo dhahili

So ni juu yako katika kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi na yenye manufaa kwako na familia yako kabila lako kijijini kwenu utokaka dini yako nchi yako zaidi ni NAFSI yako leo na kesho AKHERA

mm nakuambia kishikilie sana kinachokupa FURAHA mana wakti ukifika na ukatambua ulichezea hiyo FURAHA utajuta utalia na kusaga meno
7bu itakuwa umeshachelewa
 
Kwamba Gwajima ndo anashidana nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au hajui kuwa nae yupo kwenye Matrix ya hawa jamaa.
Wakitaka huyo gwajiboy ni siku 2 tu hayupo Duniani.
😂😂😂😂😂😂😂 yani ni masaa kadhaa tu anatoweka wakitaka
 
inawezekana ikawa hivyo lkn fikilia hayo maneno halafu linganisha na haya maisha tunayoishi sasa
mfano tazama maneno ya kwenye hii picha

View attachment 1936060

kisha fikilia hizi DAY CARE zilovyojaa hivi sasa mitaani na masingle mama hata wazazi wa kawaida wanyohaha kuwaacha watoto huko wakibadilishwa ubongo wao kwa ELIMU dunia
huku wao wakienda kuchakalika mchana kutwaa kutafuta pesa
ebu tumia muda kutafakali kisha jiulize
mwenyewe
wewe ni BINADAMU umepewa uwezo mkubwa sana wa kuchanganua mambo kisha ukapewa nishani ya UONGOZI katika hii dunia na uhuru na vilevile utashi wa maamuzi
So ni juu yako katika kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi na yenye manufaa kwako na familia yako kabila lako kijijini kwenu utokaka dini yako nchi yako zaidi ni NAFSI yako
mm nakuambia kishikilie sana kinachokupa FURAHA mana wakti ukifika na ukatambua ulichezea hiyo FURAHA utajuta utalia na kusaga meno
Binadamu sisi ni kawaida kupenda kuwe kwenye comfort zone, zone ambayo hairuhusu akili kufikiri nje ya box.Kwamba tunaona hii dunia ipo ipo tu yaani,kwamba kila kitu kinatokea naturally au accidentally,..Yaani kama tupo akhera vile,yaani kila kitu kipo perfect tu yaani 😀 😀 😀 .
Dunia hii hakuna kitu kinatokea kwa bahati mbaya,everything is planned tena looong time ago.sio leo wala jana.
Mfano yaani eti tunafundishwa kwamba WWII iliansa sababu ya kuuawa kwa frenz ferdinand na mkewe,ndio vita ikaanza ikafyeka watu zaid ya 50m..sababu ya kitoto namna hii 😀😀.Vitu vinapangwa nyuma ya pazia afu mnalishwa sababu za kitoto tunaamini.
Leo hata hii covid tunaona ni issue ya kawaida tu,yaani imekuja tu kawaida kama mafua ya msimu,na ndio wanataka tuamini ivyo ivyo waendelee kupiga pesa,yaani ugonjwa umeua watu 3m kati ya watu 7.2billion dunia nzima,tunalazimishwa kuchanjwa wote tena kwa lazima,ugonjwa una recovery rate ya 99% hadi sasa ila bado mnalazimishwa kupigwa machanjo ya dharura,halafu jitu linaona ni sawa tu hakuna shida.
Hata siku moja haitatokea scientific community kwenda tofauti ya wanao wa fund,haitakaa ikotee hata siku moja.
We tizama wale wana sayansi woote waliokuwa wanatoa mawazo tofauti na establishments contents zao zilivyokuwa zinapigwa ban,hadi leo hakuna hata anayeziamini maana those own the media controls the narrative..
Dunia ni mfano wa kampuni,there is always people behind who run the show....(Shareholders),ila nyie mtaambiwa Managing director and board ndio wana run the company,kumbe hao wote wanafanya kazi kwa niaba ya Shareholders ambao ni wachache sana...
 
inawezekana ikawa hivyo lkn fikilia hayo maneno halafu linganisha na haya maisha tunayoishi sasa
mfano tazama maneno ya kwenye hii picha

View attachment 1936060

kisha fikilia hizi DAY CARE zilovyojaa hivi sasa mitaani na masingle mama hata wazazi wa kawaida wanyohaha kuwaacha watoto huko wakibadilishwa ubongo wao kwa ELIMU dunia
huku wao wakienda kuchakalika mchana kutwaa kutafuta pesa
ebu tumia muda kutafakali kisha jiulize
mwenyewe
wewe ni BINADAMU umepewa uwezo mkubwa sana wa kuchanganua mambo kisha ukapewa nishani ya UONGOZI katika hii dunia na uhuru na vilevile utashi wa maamuzi
So ni juu yako katika kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi na yenye manufaa kwako na familia yako kabila lako kijijini kwenu utokaka dini yako nchi yako zaidi ni NAFSI yako
mm nakuambia kishikilie sana kinachokupa FURAHA mana wakti ukifika na ukatambua ulichezea hiyo FURAHA utajuta utalia na kusaga meno
Hao jamaa wameweza kuteka watu akili/ufahamu tangu mtu anapozaliwa mpaka makuzi kwa kifupi wameweka system ambayo kuchomoka ni ngumu. Omba sana upate ufahamu maana mambo hayo yameanzia mbali sana.
 
Kuna siku mtakuja kujua lakin mtakua mmechelewa

Tangu enzi za kale (zama za Agano la Kale kwenye Biblia) kulikuwa na watu wanaongea porojo hizo hizo lakini dunia inajiendea taratibu katika njia yake. Wapya wanaingia na waliochoka wanatoweka.

No need to waste your precious time with delusions.
 
Back
Top Bottom