Recent content by lymsa21

  1. L

    JamiiForums Tanzania kumbe MABADILIKO ni CCM to UKAWA then to CCM again

    Pembe tatu za mabadiliko. CCM to 1 to. 3 UKAWA. 2 to CCM
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Apo bana isue vijana kungusha mikono kumeonyesha mabadiliko ccm to ukawa to ccm
  3. L

    JamiiForums Tanzania magufuli: kupiga push up na kuongea na wananchi kwa zaidi saa ndo siri ya ushindi

    Uwezi kuomba kura kwa dk 6, lazma uonyeshe unania njema, shupavu na kusema vitu cya ukweli. Pia siku 100 za kundoa umaskini tz ni ulaghai wa kitoto. Ushindi si kuzungusha mikono uku ukikenua meno. Wajipange saana. Hapa ni kazi
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Nlizani mzee wa ku-change gear za angani ndo wa kulaumiwa
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Uchaguzi mkuu wa Oct 25 mwaka huu, umesambaratisha utashi wa neno ukawa, na chama kikuu cha upinzani chadema. Jeee nani tumtwishe zigo la lawama?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    sababu nazani ni nyepesi saana na nyembamba za kisitsha mikutano eti "MIC" Mara mitambo. Larkin makada wengine wanapanda jukwani.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli afutika ghafla kwenye vyombo vya habari!

    Cheki sana azam tv na startv live sa 9 jion karibu kila cku magufuli oyeeeeeeeee. Najua utanyoooka tu
  8. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli afutika ghafla kwenye vyombo vya habari!

    Cheki sana azam tv na startv live sa 9 join karibu Lila cku za magufuli. Najua utanyoooka tu
  9. L

    JamiiForums Tanzania MATOKEO HAZARANI YA WALIOOMBA CLINICAL OFFCER diploma NACTE

    Walioomba co kupitia NACTE ingia tu katika email yako ujue kama x au v
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kampeni za UKAWA/LOWASSA zimekwamia wapi??

    MAMBO 20 YANAYONIFANYA NISITHUBUTU HASILANI KUMPA KURA YANGU LOWASSA 1.Lowasa anaurafiki mkubwa na wafanyabiashara wakubwa ambo ni hatari sana kwa maendeleo Ya watu wa chini 2.UFISADI ni mwiko kutamka mbele ya ukawa. Kumbe nazani ni kipaumbele chao.manake wataruhusu ufisadi 3.UKAWA...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mengi yanajitokeza uchaguzi wa mwaka huu

    MWAKA HUU BANA !!!!! 1.ukibandua mabango ya UKAWA Basi UMETUMWA NA CCM 2.ukisema lowasa ni fisadi na kuwa achaguliki BASI umepewa pesa 3.ukikatwa ukawa na kutimkia ACT, Basi we mnafiki, 4. Ukisema piiiiiiiiipoooooZZZ BASI umeamua kuipga chini ccm na kukumbatia mafisadi 5.ukisema MABADILIKO...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Ni zaidi ya mafuliko mbeya mjini, matangazo kurushwa live zaidi ya channel 4 za tv nchini
  13. L

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbunge wa Sikonge, Said Nkumba abwaga manyanga CCM na kujiunga CHADEMA

    Jaman tuwen wakweli. Huyu mtu breakn nyuuuz znasema karud om ccm
  14. L

    JamiiForums Tanzania RASMI, said mkumba mb, arejea tena nyumban CCM

    Alkua ccm akamia cdm Jana uyoooo ccm home
  15. L

    JamiiForums Tanzania ukawa tutakuja kujaza nyomi lakini kura zote ni ccm ushaid ngoja october 25

    Magufuli ndo kilakitu
Back
Top Bottom