Achana TE="Retired, post: 20532343, member: 376984"]Karani tu kama makarani wengine!
Acha dharau wewe! Huyo pia ndiye anayewalipa wabunge mishahara na malulupu lupu yote, pia ndiye anayeratibu shughuli za wabunge kwa ujumla. Maafisa wote wa Ofisi ya bunge wote wapo Chini yake! Kwa kifupi yeye...
Hizi akli zingine no matope au udongo? Hizo habari za likizo ya miezi miwili si ni nyie na gazeti lenu la udaku mlizileta, halafu amerudi unaleta upuuzi hii. Utakuta na wewe ulipo unajiita Great thinker kwa akili Yako ndogo hii ya kuendeshwa na watu badala ya kutafakari jambo wewe kila...
OTE="Mussolin5, post: 16116195, member: 286056"]Kuna ushahidi gani kama hiyo sukari ilikuwa imefichwa? ama kweli Nchi inaendeshwa kwa mizuka
hizi akili ndogo kama yako ndiyo maana nchi hii haindelei kwa sabab mpo wengi watu wa aina hii. Shame on you.
umepagawa, acha kazi kama vp
ONGOKA, post: 15728738, member: 73408"]Mpaka leo nashindwa kueloewa kama kweli Rais Magufuli ana wataalamu wa kumshauri.
Wakati kilio cha wafanyakazi kikiwa kuongezwa mishahara, yeye anakuja na hoja zake za kupunguza mishahara, tena ya wakuu wa mashirika...
Kwa akili OTE="NJALI, post: 15738537, member: 197252"]Ataje na masurufu mengine, usikute allowance mil 30 mshara ndio M 9.5 hii Nchi hii, Ngoja tuone hii tamthiliya itaishia wapi.
Kwa akili hizi Tz kuendelea bado sana tuu
Lowasa sio mali hata kidogo, hiyo idadi ya wabunge na mameya ingogezeka tuu mwaka huu hasa ukizingatia kuwa vyama viliunganisha nguvu. Kumbuka mwaka 2010 vyama vya ushindani havikuunganisha nguvu lakini ccm ilipata tabu sana, na mwaka huo rais aliyekuwepo madarakan alikuwa anatetea kiti chake...
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana mkuu. Hayo maigizo yalikuwa yanafanywa na Lowasa huyaoni ila sasa hivi ndo unayaona. Kwa kuwa na watu wa aina yako Tanzania kuja kuendelea ni ngumu sana, maana umekalia ushabiki tuu.
Karudie kusikiliza vizuri yale mazungumzo pale alimaanisha kuwa mtu ameshusha kiapo bila kusoma, kwa tafsiri kuwa ni mlemavu wa macho. Kumbuka pia aliongelea na uteuzi wa watu walemavu wengine nje na yule mlemavu wa macho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.