Recent content by LYATUU James Jr

  1. L

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA

    Hujajibu chochote. Cha maana. Umefeli wewe! Unamtumia mama kkupata huruma Kumbe mnafiki mlafi huna tofauti na magamba wewe... pumbaf** Eti " mamà yangu ni mjumbe wa chama chao..." Afadhali umegundua huna lako huku ulikuwa unatutia ushuzi tuutambaa mbele mhafidhinah mkubwa wewe
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mawaziri mizigo waibuliwa tena! Yupo Chiza wa Kilimo

    Naona hawa INTARAHAMWE wanaendelea na michezo yao ya kuigiza. Eti wameibua mizigo mingine. Teh! Wamechoka wenyewe mizigo wanaendelea kubebesheana mizigo utadhani mizigo ya mnadani. Alowateua mwenyewe mzigo... anaewaibua mwenyewe mzigo kazi kweli kweli
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kalenga: Mbunge Rose Kamili wa CHADEMA ana hali mbaya (kiafya)

    Nakutakia upone haraka mama yetu
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rose Kamili hakushikiliwa na polisi bali CCM kwa malengo maovu

    CCM imejaa wezi majambazi na watekaji...! Wanatuzarau sana kwa kuwa hatunaga tabia ya kufanya counter attack iko siku tutasema Hapana iko siku tutasema imetosha...! Iko siku wakiteka mbunge wetu mmoja wao tutateka watano ikosiku wakiteka kiongozi wetu si tutapita na katibu mkuu wao ama makamu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rose Kamili hakushikiliwa na polisi bali CCM kwa malengo maovu

    Maccm yana roho za shetani ni waovu kuliko shetani
  6. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Picha na Maelezo: Hitimisho la Kampeni za Chaguzi ndogo Jimbo la Kalenga

    Tunaifuatilia mkuu na kesho ulete apdates tunavyoua CCM kalenga
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hivi rushwa ya Mil 90 inaweza kuwapa ushindi Kalenga?

    Wao wana pesa sisi tuna Mungu
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hivi rushwa ya Mil 90 inaweza kuwapa ushindi Kalenga?

    Wana WA kalenga msife moyo Bado bwana yupo upande wetu msivunjike moyo
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hivi rushwa ya Mil 90 inaweza kuwapa ushindi Kalenga?

    Mwigulu unajidai mzalendo huku unaipindisha haki??
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge Chalinze kwa tiketi ya CHADEMA awekewa pingamizi

    Kabewa Sifa za kugombea ubunge ni kusoma na kuandika Mbona mnaweweseka mapema hivyo?
  11. L

    JamiiForums Tanzania CCM watumia mabus ya Upendo kusomba watu

    Acheni utani jamani?
  12. L

    JamiiForums Tanzania CCM watumia mabus ya Upendo kusomba watu

    Inamaana hapo hawahutubii wapiga kura? Yaani unataka kunambia hao hapo wote sio wanakijiji WA kalenga?
  13. L

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Mwanasiasa kijana na mwenye kipaji

    Dah! Yaani ni ukweli usiofichika
  14. L

    JamiiForums Tanzania Alphonce Mawazo ateuliwa kuwa meneja Kampeni Kalenga

    Safi sanaa
Back
Top Bottom