Kauli za mama yao hazina shida jeshi mjiandae tunaenda kwenye uchaguzi hakutakua na nywinywi wala nywinywi yaani Tanzania hii daah Mungu atusaidie sana
Kabisa yaani ujue hii kesi ya Lissu Mimi naifananisha kabisa na kile kisa Cha Yesu Kristo yaani kosa lilikua halionekani ety anajiita mfalme wa wayahudi mpaka yule mfalme akasema mbona sioni kosa lake huyu mtu lakini bado watu wabaya wakaendelea kushikilia tuh asulubiwe asulubiwe mwisho wa siku...
Si ndio apo wamuache awafundishe Sheria maana wapo wapo tuh mpaka saiv nashangaa hiyo kesi ya kujibu Lissu ilikua ni ipi kwamba Heche anaendesha magari ya bei mbaya au kitu gani?
Yaani uyo katuga na wenzie sisi tunasubiria hizo hoja zao maana hizi hoja za Lissu zinaeleweka kabisa anafundisha Sheria kwa reference kabisa yaani mtu unashiba elimu hata kama sio mwanasheria
Mimi nashangaa Lissu alivyopigwa risasi hadharani sehemu ambayo wabunge na Mawaziri wanaishi Tena Ulinzi umejaa Kama wote Hawa jamaa waliona ni kitu Cha kawaida tuh lile tukio lakini Leo Sheria zao za ovyo za uchaguzi zinaleta maafa kwenye taifa wanataka kumpa kesi mtu mmoja.
Wewe unaendeshaje...
Hii kesi ya Lissu naona Kama wanajidhalilisha tuh hao waliompa kesi maana hizi Nondo anazotoa Lissu daah sio mchezo yaani watu wanavuliwa nguo waziwazi kweli watu hawana aibu
Ndugu zangu ngoja niseme tuh ukweli Mimi sio shabiki wa chama chochote kile ila uyu Lissu ni mtu mwenye uelewa mkubwa mno anajua Sana Sheria yaani hata kama hujui Sheria ukimsikiliza unaona kabisa Ana hoja za msingi Sana
Eee Mwenyezi Mungu msimamie Lissu🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.