Recent content by lyambamgongo

  1. lyambamgongo

    Ni kwa nini shughuli za kilimo na ufugaji zimekuwa na changamoto nyingi kuliko matarajio ya watu wengi?

    Mkuu itapendeza Kama utachangia pia namna ulivyoweza kupiga hatuA ya kimaendeleo kwa shughuli za kilimo,na ni wakati upi na nini kilikushtua ukichanganya na ufugaji
  2. lyambamgongo

    Mtaalamu wa Udongo na kilimo mazao

    Issue siyo kutochangamkiwa,mbona wadau wamejaribu kukuonyesha ili uwashawishi inabidi binafsi ufanye nini,unataaluma nzuri tu ya kuweza kujiajiri mbona Kama unajiogopea,ni kweli wAtu wengi huanzia chini Ila utambue WALIAMUA kuanza chini,sasa Kama nawe walitambua Hilo badala ya kupoteza muda wako...
  3. lyambamgongo

    Kusaidia watu hapa JF ni sahihi au si sahihi?

    Mhh Nadhani mletamada amejibiwa ki aina kwa kweli,Kama kweli mlalamikiwa ndie huyo aliejibu mudy kaka kazi unayo kama ulijiona wewe u mjanja mamboyako binafsi ukamshirikisha huyo dogo jitahidi kutafakari alichokisema dogo na maisha aliyoishi dogo hapo kwako,sidhani Kama kweli uko salama sana...
  4. lyambamgongo

    Tetesi: Afisa Elimu Sekondari Moshi Manispaa amuweka lokapu Mwalimu wa idara ya Elimu Msingi kisa Mwalimu kuuliza barua ya kazi maalum haina siku maalum

    Huu nao ni ukaraa,sasa jibu linahusiana vipi na kuweka mtu lock up,ni ukosefu wa busara na weledi wa nidhamu ya kiuongozi,sasa Kama wewe afisaa unaburuzwa kwa kutotambua wigo wa majukumu yako unataka nawe kuwaburuza walio chini yako,inawezekana mama mjane yuko vizuri anajitambua nakufahamu boss...
  5. lyambamgongo

    SoC02 Na Masters yangu, niliamua kwenda kulima Mboga mboga za kuuza baada ya ajira kuwa ngumu

    So tunasomea matarajio na si kuelimika,hapo ndipo mzgo ulipolalia,hivi unadhani watu wakiondoa hiyo drama vichwani mwao upepo wa kusoma unaweza ukapata mwelekeo upi.
  6. lyambamgongo

    SoC02 Kisasi sahihi cha kuponya jeraha lako la mapenzi kulinda afya ya akili

    Jikubali,Kuwa bize na mambo mengine,jichanganye muda ukiwa free,Kama inawezekana nenda mbaali nae kidogo wakati huo kujitengenezea new friends watakao kufanya uwe bize kidgo kuupa ubongo dira mpya ya kufuata baada ya iliyoyazoea. Na pia kuvunja mahusiano huwa ni faraja ya kujipanga upya,wapi...
  7. lyambamgongo

    Biashara ya matunda inalipa ukiijulia

    Ila nawe mbona unapita mule mule,no fact za unalolisema,nadhani ingependeza zaidi Kama ungemkosoa kwa facts nasi tukazijengea solutions hzo changamoto,huo ndio uungwana kusema 2 haiwezekani na hutoi options zako hiyo mhh
  8. lyambamgongo

    Biashara ya matunda inalipa ukiijulia

    Na pia anauzia wapi,tujaribu kuchukua details zilizokuwa ndani ya taarifa,hii itatujenga hata mitazamo yetu,tusikimbilie kuikosoa elimu kwamba ni mbovu wakati umeshindwa kuelimika.
  9. lyambamgongo

    SoC02 Mkopo si sababu kuu ya Vijana wengi kushindwa kujiajiri au kuanza biashara zijue sababu nyingine?

    Naona Kama umegusa point bingwa unastahili kura yangu,umeongea vitu vilivyondani hasa ya tatizo la vijana kushindwa kujiajiri/ujasiria mali Thanks🙏🙏
  10. lyambamgongo

    Mulbery Fruits, haya ni matunda ambayo yako Under rated sana

    Dah siajawi ona upendo wa namna hii humu jamvini,hakika mnahitaji pongezi Labda na sie wa mikoani siku moja tutakuja pendana,
  11. lyambamgongo

    SoC02 Tatizo la vijana kushindwa kujiajiri

    Nakupigia kura kwasabbu umekuwa muugwana kwa kutukumbuka na kutushukuru kupitia andiko lako,umejitahidi kugusa baadhi ya maeneo muhimu yanayokwamisha kijana kujiajiri hasa ukosefu wa ubunifu kutatua changamoto zinazomzunguka kijana,ukosefu wa umahiri wa mapema katika fani ingawa wengi hudharau...
  12. lyambamgongo

    SoC02 Mifumo ya Elimu ndiyo kikwazo vijana kushindwa kujiajiri

    Mhh acha nipite tu,kwamba nimesoma mtazamo wako kuhusu elimu yetu
  13. lyambamgongo

    SoC02 Kufanya kazi na vijana wa kitanzania walio feli kidato cha nne na wapo nyumnani bila kazi yeyote ili wakue kiuchumi na kuajiri vijana wengine

    Sa safi mkuu lengo ni kuwainua waliofail au kuwainua vijana? Maana kufail kwa mtu ni mchakato ambao kwa namna yeyote muhusika anapaswa atambue wapi alipokosea hasa kwa vijana wetu ambao wanamiliki simu ya laki 3,ambayo matumizi yake nisawa na angekuwa na cmu ya 25000 nikimaanisha cmu...
  14. lyambamgongo

    SoC02 Elimu: Kutoka ufugaji wa kuku kumi na moja mpaka maelfu

    Angalizo Kwa ufugaji wa kulea vifaranga ndani bila mama Yao,wanashauri uwapatie chakula kilicho kamilika,mlo wenye virutubisho vyote muhimu maana hawa vifaranga utakuwa umewaweka ndani haw watakuwa na mwanya wa kwenda nje kutafuta ziada ilokosekana kwenye chakula unachowapatia Na Kama...
  15. lyambamgongo

    Poison that kills men

    Hakika wanapita kama kimya kimya,ila well said🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Back
Top Bottom