Recent content by LWITIKO LWITIKO

  1. LWITIKO LWITIKO

    Saa Ya Apple Yaonyesha Jinsi Mwandishi Alivyouwawa Huko Uturuki Kwenye Ubalozi Wa Saudi Arabia

    Zinauzwaje maana hata huku hali sio shwali kabisa wasiojulikana wamekua wengi
  2. LWITIKO LWITIKO

    Wajameni!! Tatizo la Stars ni Kocha pamoja na Mapro!!

    Mm nadhani tumpe mdaa tatizo letu tunacheza mpira kwenye media sio uwanjani
  3. LWITIKO LWITIKO

    Sijawahi kukojoa tangu nianze kusex

    Duuuu nyuzi za kupuuzi kama hizi huwa zinawachangiaji weengi lkn za uchumi na biashaara Hanna wachangiaji Je kwamba Taifa letu limekua tajiri sana?
  4. LWITIKO LWITIKO

    Nini maana ya neno Ndoa

    Ndoa ni makubaliano ya hiyari ya kuishi pamoja kati ya mwanaume na mwanamke. Kifungu nimesahau
  5. LWITIKO LWITIKO

    UKWELI KUHUSU WASICHANA

    Unawaonea dada zetu kwanini wewe usikumbuke? Kwani alie muanza mwenzake nani?
  6. LWITIKO LWITIKO

    Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

    Hii ni kweli 200% nimethibitisha hilo mara nyingi kwa vitendo
  7. LWITIKO LWITIKO

    Shemeji mawenge

    Wao wenyewe ni wajinga afu wanasimuliana mtu na kaka yake eti leo ninaratiba ya kwenda kukutana na ALIEKUA MPENZI WA MAREHEM KAKA YAO afu wanakuja kuomba ushari kwanza unasoma chuo gani dogo?
  8. LWITIKO LWITIKO

    Shemeji mawenge

    Wewe na kaka yako wote akili sawa kibaya zaidi zinaa inawatesa epukeni zinaa
  9. LWITIKO LWITIKO

    KAZI TAYARI, CHANGAMOTO IPO KWENYE KUTAFUTA MWENZA WA MAISHA

    Tazizo lako bwana mdogo ulipokua huna kazi ulikua hujiamini hata kidogo kama wewe ni mwanaume na unaweza hivyo unategemewa na kuaminiwa na jamii ndio maana hata kupata wale wanawake wenye upeo mzuri na fikra zilizo tulia ilikuwia vigum Sasa umepata kazi na mshahara mzuri ndio umekua na...
  10. LWITIKO LWITIKO

    Ukelele wakimahaba unasisimua hisia zako ? Vipi kuhusu mwanamke gogo in bed ushawahi kutana nae.....?!!

    Nadhani ifike hatua tuwaze mambo ya msingi na yenye tija kuliko kuwaza starehe tu. Kweli asubuhi na mapema mtu unamka na uzi kama huu? Uchumi utajenga saa ngapi? Kwa kawaida familia zetu especially hizi za kitanzania zinaendana tu kwa kila kitu tofauti kama ipo ni ndogo sana kwamba huyu...
  11. LWITIKO LWITIKO

    Mwanaume mwenye akili ndogo umuona mwanamke ndio chanzo cha mafanikio yake

    [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] Pole mkuu ndio ukubwa huo
  12. LWITIKO LWITIKO

    Ushauri: Nimuoe Yupi Kati Ya Hawa; Msambaa, Myao, Mluguru Au Mchagga?

    Hata mm pia nakushauri owa wote wajue wewe ni jembe hawa viumbe ni wetu tuwatumie mkuu
  13. LWITIKO LWITIKO

    Nikimtekenya mke wangu huwa hachekelei!

    Dogo iko hivi inawezekana mkeo amepoteza hisia kwako kwasababu nyingi lkn kubwa zaidi ni kuto RIDHISHWA AU KUFIKISHWA KILELENI hivyo hafurahii uwepo wako kama MUME hivyo haoni maana ya maisha anayo ishi pia hilo linamfanya awe na msongo wa MAWAZO (STRESS) Hebu jitathimin ni wapi unakosea then...
  14. LWITIKO LWITIKO

    Je, nimruhusu aje kunitembelea mkoa nilipo?

    Akija mwambie ashukie Nanenane afu mm ntakuletea mpaka home kwako usisahau kunitumia no yake pm ahsante
Back
Top Bottom