Ni kawaida, mtu akihama anaonekana mbaya. Ni kama mchezaji wakati anasajiliwa atapewa majina mengi ya kumsifia ila akiachana na timu husika unasikia hakuwa na msaada kwa timu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.