LIKUD kwani lazima kila uzi uchangie? yaani nakuonaga unakaujuaji ka kisekondari sekondari.Hebu hata kama huna nywele sehemu za siri jaribu kujiheshimu.Nenda kwenye majukwaa yenu ya kula mzigo kimasihara huko ndo level zako.
Ukweli mwingi umefichwa na serikali ya KAGAME.Ni ukweli usiopingika kuwa tusi waliuawa wengi.ILA ukweli usiosemwa ni kwamba mara baada ya RPF kushika dola wahutu wenye mlengo wa kushoto na RPF walikipata cha mtema kuni.jeshi la intelahamwi lilisambazwa hivyo ikabidi wapiganaji wakimbilie...
nimezunguka mikoa kibao.ila kwa wanaotafuta maisha geita kwenye migodi midogomidogo ukiwa na biashara hufi njaa.Namaanisha yakikushinda geita tafuta kitanzi ujimalize
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.