Recent content by lwambof

  1. lwambof

    Baada ya kumkumbatia Makonda , TVE yaanza kupoteza watazamaji

    Kwa hiyo unajua hiyo meli kuja bongo ni project ya Bashite na imeanza kuja mwaka huu nn mkuu
  2. lwambof

    Dkt. Luis Shika ni nani? Tumfahamu zaidi

    unaweza sema ni mtumiaji mzuri wa ile kitu ngumu kumeza ya Kimara pale maana muonekano wake tuu lazima utatabasamu
  3. lwambof

    Rais Magufuli: Baadhi ya Mawaziri katika Serikali yangu ni Wapumbavu

    Hao mawazili wanateuliwa na nani kwan mwenye kujua atujuze ili tupate pa kuanzia kabla ya kuwaita wapumbavuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. lwambof

    Ni bora msioge kabisa ili tujue moja,kaaah!!!

    mwanamke hata ajisafishe vp kama ana maambukiz ya bacteria/fungus huko chini hata akijisafisha vp hali ya kunuka itajirudia tuu baada ya mda mfupi kaa naye chini muongee kiutuuzima kusolve hilo tatizo kama alikuwa wa kupiga na kusepa sidhan kama utafanya hivyo ila kama n wako I mean una malengo...
  5. lwambof

    Madenge the genius!

    Iko poa...
Back
Top Bottom