Recent content by Lwamadovela

  1. L

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Sauti yetu iko kwenye box la kura kama chichiemu watatuletea bibi wa kizi mkazi.arudi huko.tunawabeba sana halafu bado wanaleta za kuokotwa.tunasubiri tamko la smz na jmt
  2. L

    Nyumba inauzwa Njombe mtaa wa Hagafilo

    Boss nyumba iliuzwa milioni 90.unashangaa 75m.umaskini mbaya
  3. L

    Nyumba inauzwa Njombe mtaa wa Hagafilo

    Wanajamvi heshima kwenu.nyumba inauzwa mjini njombe mtaa wa hagafilo.bei 75milioni.ina vyumba zaidi ya 15.imeisha,ina kila kitu,kwa maana ya umeme na maji.inawapangaji full vyumba vyote.karibuni.mawasiliano 0758248358.nb hakuna dalali
  4. L

    Polisi kuua mlinzi wa bar Dar: Je, Chalamila anakwepaje kuwajibika?

    Huku kwetu neno chalamila no kuvuja kamasi bila ukomo
  5. L

    Unyama: George Sanga atimiza siku 1088 rumande kwa tuhuma ya Mauaji

    Huyu mtu na wenzie walishatoka ila waliambiwa wasikae njombe kwa usalama wao.hii no baada ya upelelezi kubaini wahusika in masisiu yenywwe.mniamini mimi.
  6. L

    SI KWELI Mkoa wa Njombe una kijiji kinachomilikiwa na aliyekuwa Malkia II wa Uingereza

    Ni kweli na mkitaka kufanya chochote kwenye aridhi hiyo.lazima kibali kitoke uingeleza.lile eneo linaweza kukava kisiqa chote cha unguka
  7. L

    Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    Shida iko hapa TISS wana miliki kadi za sisiemu
  8. L

    Walionyang'anywa mali na Hayati Magufuli waomba kurudishwa mali zao

    Tulioachishwa kazi kwa uonezi tumwone nani?
  9. L

    Mbunge Musukuma alivyoswekwa lupango baada ya kuongea hadharani kuwa Hayati Magufuli anamiliki hoteli

    Kumbe jamaa walimsweka ndani.Duh!hatari na robo.hero Mimi sijasema
  10. L

    Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

    Huyu DC hafai atolewevna afunguliwe mashitaka
  11. L

    Kwanini wasomi wa siku hizi hawajui mambo ya kawaida

    Walimu was sasa hivi no shida.niliwahi kumwona mwalimu shule ya msingi ikonda huko makete.anafundisha dunia tawala.ukutani ana ramani ya Afrika.nyie
  12. L

    Rais Samia Kumbuka Fao la Kujitoa

    Samahani kwa anaejua mtumishi akiachishwa kazi.kikokotoo cha mafao yake kikoje?
  13. L

    Dodoma: Kofia mbili kuchomoza mabadiliko CCM

    Huenda na maamuzi yakawa ya kijinga sana😂😂😂😂😂😂😂
Back
Top Bottom