Recent content by lwabu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Hii recruitment portal mbona wanatuchanganya?

    cha msingi ile barua unayo atach si tayari ina adress ya unapotuma inatosha haina haja ya kutuma kwa posta
  2. L

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Sehemu ya ku attach cover letter kwenye recruitment portal.

    isue ni sahihi unaweza taype ukaprint badae unasaini kisha una scan ili ui upload au unaandika kwa mkono na kuweka sahihi yako hii ndo njia rahisi zaid hta mimi naitumia
  3. L

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Hoteli tatu zilizo karibu na makazi ya Waziri Mkuu kubomolewa kwa sababu za kiusalama

    kama hiyo nyumba imefuata nyumba ya mh waziri basi hakuna fidia hapo tena tunaweza kuwashitaki watulipe kwa usumbufu
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    Sasa vipi kuhusu gharama za uchaguzi
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

    kweli aibu ishawahi niponza hta mimi kuna mgahawa nilienda sijauliza bei me nikaagiza (muhudumu alikua mdada ) zengwe badaee naletewa bill sikuamini
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

    uhuru tano tena
Back
Top Bottom