Recent content by Luyi

  1. Luyi

    BoT: Kufungwa kwa maduka ya fedha ya kigeni Dar ni zoezi endelevu, wafanyabiashara walalamika kinyang'anywa fedha, camera na nyaraka

    Uchina ninayoijua huwezi kubadili pesa bila kuwa na passport,miaka nenda rudi iko hivyo na sio hiyo tu kuna limit ya kubadilisha kwa siku kwa watu ambao ni wanafunzi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Luyi

    BoT: Kufungwa kwa maduka ya fedha ya kigeni Dar ni zoezi endelevu, wafanyabiashara walalamika kinyang'anywa fedha, camera na nyaraka

    Kaka Uchina ya mwaka gani hiyo unaiongelea??kama huna passport china huwezi kubadili fedha na kama hiyo haitoshi kuna kiwango maalum cha kubadilisha kwa siku huwezi kuzidisha Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Luyi

    Natafuta kazi

    Okay Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Luyi

    Natafuta kazi

    Una extra certifications za mambo yanayohusu tehama?? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Luyi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Unataka link bila kujali ni ya lugha gani?? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom