Recent content by Luv

  1. Luv

    JamiiForums Tanzania Namna nilivyoona Polisi wakiua Oktoba 29 kuanzia usiku hadi Octoba 30 jioni

    Duh🙌🥹
  2. Luv

    JamiiForums Tanzania Ni pedi gani nzuri zaidi kwa bei rafiki

    HQ ina changamoto mkuu? Kama ndio ni changamoto ipi?
  3. Luv

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 46M faida 540,000, pia mtaji wa 45M faida 576,000

    Biashara ya jumla Ina faida kidogo kuliko ya rejareja. Kinachofanya iwe nzuri ni kama kutakuwa na mzunguko mkubwa.
  4. Luv

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Watanzania Wote: Amkeni

    Siku ukiandika waraka nitag mkuu.
  5. Luv

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkeo akikubambikia mtoto ambae si wako utachukua uamuzi gani?

    Lea mtoto
  6. Luv

    JamiiForums Tanzania Laini za uwakala

    Weka Bei yako mkuu nione
  7. Luv

    JamiiForums Tanzania Wakuu ushauri wenu ni muhimu, nimefilisika

    Utasimama Tena, kupanda na kushuka ni kawaida kwenye maisha
  8. Luv

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimuonya akakana katu, leo kajikamatisha mwenyewe

    Tusubiri kukucha awashe simu kwanza.
  9. Luv

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma hii Live Chat mimi na mwanamke ninayemtaka ofisi moja, toeni maoni wazee

    Yeye anasemaje?
  10. Luv

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina malengo nae ya baadae ila tatizo 'hashoboki' kimapenzi

    Hongereni
  11. Luv

    JamiiForums Tanzania Mwamba aliewaliza Wazungu kwa Mgodi feki wa Dhahabu Geita

    Punguza tangawizi ni nyingi mno, ongeza mchaichai na mdalasini
  12. Luv

    JamiiForums Tanzania Leo dola moja ni sawa na 2290. Kweli uchumi unakuwa

    Hii Sasa balaa.....so inawezekana pia ikafika 2700
Back
Top Bottom